Hii imevuja bado official release haijatoka usiwe na haraka kujaji vtu....kuna vitu kibao havijakamilika so tuliza mshonoNaona haujanielewa mkuu. Ni hivi mimi sina team kwanza. Halafu kama wimbo sio mzuri lazima niseme sipendi unafiki. Kajiandae, kidogo na huu wa diamond feat neyo zote hakuna kitu. Zinahitaji team zilizojaa unafiki ili zipate KICK ila ukweli unabaki pale pale nyimbo ni mbaya.
Sent from my HTC Desire 816 using JamiiForums mobile app
Povu linavokutoka mm nimetoa kama mfano coz nyie ndo mnajifanya mnatoaga ngoma ambazo hazichuji mapema ndo maana nikatoa uwo mfano kuwa mbona kajiandae haijamaliza hata mwezi na ishafuria tyarNapenda pale mnapojicompare na king kiba. Hahha nimesoma comments nyingi team domo mkipewa comments za kukosolewa mnataka kujustify kitu kwa kumtaja king kiba hahhaha. Werevu tunaelewa why.
kumpeleka neyo kwenye afro pop wakati yeye ni muimbaji wa rnb kumemshusha kiwango kabisaa,na huu wimbo hautakuwa na video ni mbaya sana kwa mara ya kwanza ameharibu domo
Kwani kwako kuna nyimbo ya mond inakuwaga nzuri???Japo sijaisikiliza ni MBAYAAAAAAAAAA!
Acheni iwaingie pole pole mapovu yanvowatokaKweli wimbo mbovu ndio shida ya kufanya nyimbo kwa kukurupuka..huwezi toa nyimbo nzuri kwa maandalizi ya siku moja tena kwa wasanii wanaoimba nyimbo za mahadhi tofauti
Mwak ushaisha ana malizia mwez mmoja ngoma ya kawaida sana....hamna collabo aliyoshirikisha mtu mond akaacha kufunikwaBalaa jingine hili.. huu mwaka wako tena diamond
mkuu ukiusikiliza huu wimbo haujakamilika kabisaa inaonyesha ndugu yetu hakujipanga kuendana na muziki anaoufanya neyoKweli wimbo mbovu ndio shida ya kufanya nyimbo kwa kukurupuka..huwezi toa nyimbo nzuri kwa maandalizi ya siku moja tena kwa wasanii wanaoimba nyimbo za mahadhi tofauti
Alivujisha nyimbo gani mkuu had I uropoke hivyo tutajie nyimbo ilioai kuvujaDiamond Tushamzoea kuvujisha nyimbo zake na kuanza kutoa lawama kutafuta kiki.
Hawa jamaa wakiambiwa ukweli wanakuona hater. Ila ukweli utabaki palepale huu wimbo ni mbaya.mkuu ukiusikiliza huu wimbo haujakamilika kabisaa inaonyesha ndugu yetu hakujipanga kuendana na muziki anaoufanya neyo
huyu Neyo labda angeimba na RNB wenzie kama Ben pol/jux au mtu HIP HOP ngoma ingekuwa hit song nzuri sana kupita maelezoHawa jamaa wakiambiwa ukweli wanakuona hater. Ila ukweli utabaki palepale huu wimbo ni mbaya.
Kwenye post yoyote kuhusu Ali na Diamond kabla sijareply comment ya mtu huwa lazima nimdukue kidogo, na ww nimekudukua nmeona una team yako kwa mantiki comment yako ni ya mahaba ya upande fulaniNgoma mbovu