Ngoma mpya: Roma ft Darasa & Jose Mtambo - Kaa tayari

Ngoma mpya: Roma ft Darasa & Jose Mtambo - Kaa tayari

daah nguvu inayotumika kuwabeba weusi ingetumika kwa jose mtambo angekuwa mbali huyu jamaa
 
daah nguvu inayotumika kuwabeba weusi ingetumika kwa jose mtambo angekuwa mbali huyu jamaa

Sometime nidhamu ya muziki ndio sababu,Jose gambe linampoteza na mara kibao anashindwa kupanda stejini kisa yuko tungi hata wanaombeba wanachoka ila jamaa ni talented mbaya inabidi mabadiliko yaanzie kwake.
 
"Siku hiz kila dem ukimwuliza..naishi mbezi, kumbe anafata bata anakaa tabata kinyerezi"

Na

"Me ndo KING nisie na KIK usiniite KINGKIK"
___________________________________________________

Miongon mwa punch za roma nlizozielewa humu
 
daah nguvu inayotumika kuwabeba weusi ingetumika kwa jose mtambo angekuwa mbali huyu jamaa
shua asee huyu jamaa mkali ila hip hop kama hailipi, kuna siku nilimwona kigamboni kalewa anaelekea sokoni sijui alikua anaenda kunywa supu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom