Ngoma mpya: Roma ft Darasa & Jose Mtambo - Kaa tayari

rastafari tz

Member
Jul 1, 2016
46
48
Msanii Roma mkatoliki leo kaachia ngoma yake mpya ambayo kawashilikisha Darasa & Jose mtambo ngoma imefanyika tongwe record jina la ngoma ni KAA TAYARI, kiukweli ngoma iko poa jamaa wanajua sana na video ni nzuri pia.

hii midundo kama imeisha radha kuna midundo mipya watu ndo wanamizuka nayo yakina chafu pozi pesa madafu na darasa naye katuletea too much
 
Jos aache pombe nilikutana nae kuna siku kitaaa kalewa kaisha nikampa 5 ila sikumjua nimefika mbele sura ikawa inaload... Ndio kujua alikua ni big jos.. Jamaa namkubalii sanaa ila pombe zimamuharibu sanaa
 
Kama una access ya kumfikia fanya initiative ya kumsaidia, baada ya pombe utaskia anatumia KUBWA KULIKO, heri nusu shari kuliko shari kamili. Ushauri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom