DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Ukimya watawala masikio Dodoma
Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa mpya.
Kumekuwa na shauku kubwa kwa watu wengi kutaka kujua majina aliyopitishwa kutokana na watu wengi waliojitokeza kuomba ridhaa.
Hata hivyo chama hicho kifanya marebebisho madogo ya katiba ili kuongeza majina kutoka matatu mpaka matano hatua ambayo ilitajwa kwamba ni ukomavu wa kisiasa.