Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,149
Kihelehele chao Kwan kulikuwa na ulazima gan wa kuitisha press ilihali mchakato bado mbichi
Wakija watajitamba nchi nzima ilikua inasubiri mchakato
Kihelehele chao Kwan kulikuwa na ulazima gan wa kuitisha press ilihali mchakato bado mbichi
Akili za form two cWakija watajitamba nchi nzima ilikua inasubiri mchakato
Heading ilikuaje?Sema Kuna uzi wa Britannica umeliwa kichwa faster na Mashine ya AI sijui alikuwa ameleta nini...!
nyuzi zinafyekwa juu kwa juu japo zina ukweliShida nyingine ya jf ndo hiyo, ukifanya uthibiti mkubwa wa taarifa platform inakosa nguvu overtime
Aliandika kihispaniola ama Kituruki....sema nimeona neno linafanana na ...complica...!Heading ilikuaje?
Complica kispaniola ni complicatedAliandika kihispaniola ama Kituruki....sema nimeona neno linafanana na ...complica...!
miti yote utelezaSiku ya kufa sokwe
Mama kapungua uzito,yuko fiti, bungeni alisimama saa tatu akihutubiaMama mgongo ukianza msumbua ata sema tu kasomeni ivyo ivyo tu
Ila kweliMama kapungua uzito,yuko fiti, bungeni alisimama saa tatu akihutubia
Mara tano unusu makala huyu na mashavu yake ya kinyiramba anatangaza wateulemiti yote uteleza
Lipi hilooo!!?mbona mafumbo !?semeni!!live sio pigo pigo pigo Kila saw pigo!!?Wamezuiwa, hamna Wabunge janjajanja wa Samia na genge lake .
Wamepigwa PIGO takatifu, PIGO Moja kubwaaa
Hvi huwa wana fanya mazoezi au wanakula glucose before.. mkuu masaa matatu kusimama sio poaMama kapungua uzito,yuko fiti, bungeni alisimama saa tatu akihutubia
Basi uongozi wa JF utakua makini sana ku grasp mada zenye hatarishi ambazo naamin Zina 98% ukweli na kuzifuta...Aliandika kihispaniola ama Kituruki....sema nimeona neno linafanana na ...complica...!