Pole sana, Kuna tatizo upande wako wote sita Kuna mmoja angekuwa vizuri iwapo Kuna vitu au sifa ungekuwa nazo, cha Kwanza thamani yako kama kichwa ilikuwaje? Yaaani ulifanya maandalizi gani ya kujithamisha Kwanza Ili huyo mke akifika anakuwa humble? Tatizo nikutafuta mtu wa kukuthaminisha wewe badala ya wewe kujithamisha Kwanza na hapo ndo tunasema Ili mwende sawa tafuta wa level yako, imagine wewe kama mume umejenga mazingira yako yenye thamani yasiyohitaji hata kijiko cha huyo mke Kwanza akileta anaulizwa umeleta cha nini kama havitoshi ungesema niongeze vingine Mimi nahitaji mke mwenye tabia nzuri na kujiheshimu na mambo ya familia ntasimama mwenyewe Sasa hapo hao wasomi wote hukupata aliye humble kwako? Au ulikuwa unachagua wa kukusaidia kuongeza thamani yako?Yani nilikutana na Ke wasomi 6, kwa nnje ni wife materials tupu lakini jiwekee ndani sasa ujionee vituko [emoji28]
Si kupigwa vile kwa vitu vizito hadi nilibakia skeleton tupu kwa stress [emoji30]
Wasomi wasomi eeeeh... [emoji119][emoji16]
Daudi naye alimla mke wa mtu 😂Haya someni hizo hapo juu mpate kujua kwa hakika kwanini haya yanatokea sasa.. Adam hakuwahi kukosa changamoto toka jinsia pinzani.. Toka Lilith mpaka Eva!
Baada ya kushindwana na Lilith, Mungu akamletea Eva lakini naye bado akazingua vilevile.. Hapa tunapata tafsiri gani?
Mchukulie Lilith ndio hawa wanawake wasomi wa kileo... Mostly they are beyond control! Na mchukulie Eva kama mwanamke asiyesoma wa kileo unamshape mwenyewe utakavyo.. Wengine wanafit kwenye model shaping yako. Wengine akishajua ABC wanakuwa kama Lilith[emoji1]
Hivyo basi Mwenyezi Mungu hakuona sababu ya kumtafutia babu yetu Adam dizaini ya tatu akajua nayo itazingua tuu ndio maana mwishowe akaja na suluhu ya kusema ISHINI NAO KWA AKILI
Kwamba mwanaume uwe mpole kama HUA (njiwa) lakini uwe mwerevu kama Nyoka (ibilisi[emoji848]) Hiyo ndio akili ya kuweza kuishi na Sweet heart wako na mkafika mbali sana! Ukishindwa kuishi basi tambua huna akili![emoji23]
Kuchapiwa hakukuanza leo[emoji31] Je unajua mtoto wa kwanza wa Adam hakuwa wake!? Huyu ndio matokeo ya Eva kukutana na Nyoka pale Eden na kula tunda la mti wa kati.....lakini hii ikawa siri ya Eden.. Dah[emoji2827]
Ya mwisho ni hapa!
Mungu akambariki Mfalme Suleiman kwa HEKIMA na UTAJIRI halafu akamuongezea bakshish ya LIBIDO[emoji23] Jamaa akaoa WAKE halali wa ndoa 700 na bado wakawa hawamtoshi akaongeza na MASURIA (vimada) 300.. Salute kubwa sana kwa huyu mwamba!
Ila bado dhambi ya usaliti haikumuacha salama akamla mke wa mjakazi wake! Unafunzwa nini hapa!? Mwanaume HATOSHEKI...Na mwanamke ku cheat ni asili
msinipige mawe..[emoji23] sio maneno yangu ni Maandiko
Siropoki tena!
Vile tutasema... Bwana niliichimbia .... 🤣Wasali sana siku za mwisho zaja
Mkuu huwa unamdanganyaje mamsap wako hadi anakupa hiyo kitu?Kukiwa na 'morning glory' always siku huwa njema sana [emoji7] Am handsomely blessed today[emoji16]
Muombwaji ndiye mwenye shida kubwa, kinyume na hapo angeweza kukataa, Ila kwa kuwa ana shida kiukweli akiguswa kidogo tu anatoa ushirikiano mkubwa ili apate akitakacho.Hivi mwenye shida kubwa ni nani muombaji au muombwaji!?[emoji23]
Poa mkuuIshi nao kwa akili mkuu..[emoji23]
Tobaaaaa
- Umeandika vyema kabisa!
- Kuna mmama mmoja CEO wa taasisi maarufu na muhimu Kwa nchi ameolewa kwa wanaume wawili, wote anawapa ratings kama wanaume wenye nyumba mbili wafanyavyo
Hii ndiyo dawa ambayo wengi wanaolialia eti mke msomi sijui ana pesa anasumbua, wapi bhanaaa mbele ya mwanaume mwanamke ni mwanamke tu na dawa ni ile ile mwanamke mwenzie, baasi.....Umemaliza mjadala. Wee kuwa na wanawake watano na hakikisha wote wanajua kuwa hawapo wao peke mbona watatia akili ata mavi yako watakula🤣🤣🤣🤣
Simple as that. Akileta nyondo ataondoka mwenyewe wee unaendelea kupiga mbususuHii ndiyo dawa ambayo wengi wanaolialia eti mke msomi sijui ana pesa anasumbua, wapi bhanaaa mbele ya mwanaume mwanamke ni mwanamke tu na dawa ni ile ile mwanamke mwenzie, baasi.....
Yeye ndo atatafuta option, ya nini kuumiza kichwa na mtu ambaye kiasili anatakiwa akutii na kukunyenyekea......eti kisa amekuwa msomi na kapata vijisenti.Simple as that. Akileta nyondo ataondoka mwenyewe wee unaendelea kupiga mbususu
Marijali wachache!!!, mnatupa kazi sana mjue[emoji2827][emoji2827][emoji2827]wajane wengi,
watalaka wengi,
wasingo maza wengi,
washoga wengi,
wengi wanamatatizo ya nguvu za kiume
Wenye nye.ge wengi
Marijali wachache!!!, mnatupa kazi sana mjue