Ngoja niropoke

Tukutaneni kesho wengine tuko night shift, na wengine mnaenda kuzihudumia ndoa hizi hizi mnazoziponda hapa.
kweli moyo wa mtu ni kiza kinene! Pengine hata hilo bundle na hiyo simu kakununulia yeye


Run..
 
Yaani sio kwamba wanawake ni wajinga sababu ya usomi hapana, ila elimu imewafumbua macho, ile ya ndiyo Mme wangu ,au ndiyo Baba hakuna,
lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni wachache sana wanaojua kusimamia nyumba yaani mke na watoto anachofanya akiona vipi anakimbia nyumba ha ha ha wanaume ngangari mpo wachache sana.
usiku mwema.
 
Watu huwa wanakataa ukweli lakini kwa mtu makini hapingani na ukweli kwamba "Mwanamke kwake ni Nyumbani tu". Hapa wenye akili timamu tu ndiyo wanaelewa.
 
sure nilisoma hio kitu naelewa hio hata sikuumaliza ule uzi
 
Yaani sio kwamba wanawake ni wajinga sababu ya usomi hapana, ila elimu imewafumbua macho, ile ya ndiyo Mme wangu ,au ndiyo Baba hakuna,
lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni
Ukweli nilio waambia hata mkusanyike Dunia nzima wanawake wote hamuwezi kuupinga,ukweli huu kwa maarifa na uadilifu.

Sababu kwanza hili jambo mmeletewa na wale walio waletea walikuwa na lengo maalumu. Kuondoa au kuivunja Ile taasisi imara ya ndoa. Hapa kwanza mlipigwa na utaona ni kwa jinsi gani mna upungufu wa akili Wanawake wote haya ni maumbile yenu.

Sasa Kuna ubaya gani ukimtii mumeo na kumsikiliza ?

Kingine wanawake nyinyi siyo wakweli mambo mnayokutana nayo katika harakati zenu yana onyesha wazi ya kuwa huko mlipo si mahala penu.
lakini wanaume nao shida ipo kubwa kwao tena kubwa sana, ni wachache sana wanaojua kusimamia nyumba yaani mke na watoto anachofanya akiona vipi anakimbia nyumba ha ha ha wanaume ngangari mpo wachache sana.
usiku mwema.
Suala la mwanaume kukosea katika majukumu yake ni suala la uzembe na la kukemewa kwa mtoto wa kiume. Ila hili halikufanyi wewe mwanamke ukosee zaidi katika kumtii au kuwa chini yake.
 
Hello,

Mshana hajalalama bali ametuasa kwa muone wake.... BINAFSI I WAS RAISED WITH BOTH MY DAD AND MUM: na wanangu wana deserve HILO...
 
Mwanamke wa shoka ni mama yetu Getrude Mongela sifa zimfikie mungu ambariki.Anajua kutofautisha cheo na mambo ya nyumbani
 
Pamoja na yote hayo, mwanamke akikupenda atakuheshimu, atakusikiliza na kukunyenyekea vizuri kabisa
 
Chaokadhe wetu Mshana chatekondike walodha mno
 
Sikatai lakini sio kwa kila kitu kutii, heshima wengi mnapata lakini hamjui kuipokea, na wengine mnaoa mabinti wazuri lakini mnawaharibu wenyewe, nawao wakizibuka tu mnashindwa kuwa control, poleni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…