Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,624
Tuongee ukweli tu.
Mwanamke akipata mchumba msomi ukoo mzima utajua, masifa kibao...mwisho wa siku ndo hivi mnashindwa kuishi nao.
.
.
Na wewe ukipata mtoto wa kike mpeleke shule mwisho form four, mnawasomesha hadi chuo degree mbili utegemee aje aishi na mume kwa kunyenyekea kama mtumwa? Hata wewe baba yake hutakubali awe boya.
Ndoa za kiafrika ni utumwa kwa mwanamke kwasababu ya mfumo dume.
Kwenye ndoa kuna uboya mwingi na mnategemea mke ndo auvumilie. Sio kwa zama hizi kaka yangu..
Ingawa kwa bahati nzuri wapo wasichana wanyenyekevu lakini hamuwataki.
Pambaneni tu na hali zenu kwa kweli. Mambo ni bam bam!

