Ngo! Ngo! Ngo! Hodiiiiii!

M Mahona

Senior Member
Sep 29, 2011
162
13
NGO! NGO! NGO! HODIIIIIIIIIII! Jamani naomba mnifungulie mlango mimi ni mwenzenu. Nimeelekezwa kuwa mmo ndani jamani! Mwadela wa Bhabha na wa Mayo, mlimhola. Nimewaletea viazi toka Igunga
 
Mkuu, ndo wewe mpigania ubunge au tumsubiri mwingine? Karibu sana jamvini.
 
Wabeja sana, sio mimi wao nimewaacha huko mm ni mpiga kura
 
Asanteni sana kwa kunikaribisha mwana JF mwenzenu. Nimeshapitia rules Mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom