Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

ritz unafurahia nini wakati kambi yako inaungua kila kukicha?
 
Ngeleja amejichafua, simnakumbuka ule usemi tukiwa wadogo
 
Kweli kuachwa kubaya, na aende akamlilie DHAIFU.
 
ngeleja.. Anaiga kunya kwa tembo..! Analeta ubosi wake hapa.. Wakati uwezo mdogo.. Nimemuona kaniki yake bungeni.. Anajitia umaarufu wa kudandia treni kwa mbele kama vuvuzela..
 

point less
 
mnakumbuka alisababisha mlinzi wa benki alifukuzwa kazi baada ya kumwambia boss kama unapiga simu kaa pembeni ili wateja wengine waendelee kupata huduma?:dance::llama:
 
Kwa heri ngereja katika ulimwengu wa siasa,a.k.a mr.meggawat.
 
mdee, kasema ngeleja ana umate UMATE NA UWAZIRI
 
Nimependa maneno ya Ngeleja ujumbe tosha kwa Chadema...bajeti ya harusi.
Nimeipenda sana bajeti ya baba riz, bajeti ya inji hii. hebu tuambie mwana wa legelege, kutoka deni la taifa la 5000 bilion wakati mzee akishika usukani mpaka leo 22000 bilion hivi ndo zimemong'olewa na huto tusafari twake twa kila week end au miradi ya maendeleo. Hivi hilo bakuli analozunguka nalo kila uchao limeingiza ngawira kiasi gani?
 
kikubwa nilichokiona mimi kwa ngeleja ni sifa na alikuwa anachochewa na muheshimiwa mkumba kwa kupiga makofi ya unafiki kimsingi makosa anayosema yeye yalisharekebishwa na wananchi tunajua so sijaona jipya kwa upande wake na pia mnazimu LISU ametoa maelezo mazuri kuwa CDM hawakupeleka bajeti bungeni bali ni mapendekezo ya kuboresha bajeti ya serikali 2012/2013.
 
mnakumbuka alisababisha mlinzi wa benki alifukuzwa kazi baada ya kumwambia boss kama unapiga simu kaa pembeni ili wateja wengine waendelee kupata huduma?:dance::llama:

Yule kamanda anaitwa Mnaku......mungu mkubwa kapata kazi nyingine......nawakumbusha saga zima

The Minister for Energy and Minerals, Mr. William Ngeleja, got into an altercation with a security guard at the Standard Chartered ATM yesterday. According to Mr. Pascal Mnaku, an employee of Ultimate Security Ltd, Mr. Ngeleja was in the booth talking on his mobile phone and he was trying to alert the Minister to the fact that other clients were waiting to use the ATM when: “The Minister suddenly turned around and started shouting at me asking me ‘Do you know who I am? You don’t know who I am!’ and he started swearing at me…*” Mr. Mnaku was summoned along with his superiors to Minister Ngeleja’s office in the afternoon for further discussion. he was subsequently fired by his boss!
 
Vibaraka wapo wengi sana humu....
 
mr.sengerema,, amefulia aanike tuone kama zitakauka
 
aendelee kula nyama choma 84CLUB NA KUNYWA BIA TU,, NGENEJA KWISHNEY
 
Na ndivyo ilivyo alikuwa anatafuta umaarufu badala ya kujadili bajeti ya serikali ana jadili bajeti ya upinzani kweli inaonyesha ni jinsi gani upinzani unavyoipa tabu serikali ya ccm
 
Ni alipokuwa akichangia hoja,, bungeni,, amesema watanzania muunge mkono bajeti ni nzuri itatusaidia,,,AMEUNGA MKONO HOJA YA BAJETI ASILIMIA MIA MOJA HAMSINI,, AMEPONDA BAJETI YETUU CHADEMA,, AMETAKA KUJICHUKULIA UMAARUFU KUPITIA KWETU

“I am certain that guard didn’t know who I was during that time, as he was starting to get confrontational one customer tried to warn him that he was speaking to a Cabinet Minister but he continued to shout ” He said it in January 10, 2011
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…