Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

sir.JAPHET

JF-Expert Member
May 18, 2012
699
133
Ni alipokuwa akichangia hoja,, bungeni,, amesema watanzania muunge mkono bajeti ni nzuri itatusaidia,,,AMEUNGA MKONO HOJA YA BAJETI ASILIMIA MIA MOJA HAMSINI,, AMEPONDA BAJETI YA CHADEMA
 
Ameponda chadema ,, na bajeti yetu ya chadema na kuwa anatuheshim sana lalkini anatusema na kutupa makavu live
 
Badala ya kujadili bajeti ya serikali yake yuko busy kuchambua ya upinzani...

CCM yaani utafikiri wao ndio kambi kuu ya upinzani na CDM ndo chama tawala!!!
 
Hakuna kitu kinachoitwa "Bajeti ya Upinzani" ila "Maoni ya kambi ya upinzani juu ya bajeti ya serikali"

Ngeleja anafuka moshi...ameshachemsha!!!
 
Ni baada ya kuanza kutaka kujipatia umaarufu kupitia chadema,, ndipo,, amekutana na mtasha tundu lissu,, na kumtuliza,, ngeleja kwa ujuha wake,, wa kudandia hoja juu juu
 
Ni baada ya kuanza kutaka kujipatia umaarufu kupitia chadema,, ndipo,, amekutana na mtasha tundu lissu,, na kumtuliza,, ngeleja kwa ujuha wake,, wa kudandia hoja juu juu

hebu dadavua alichoambiwa huyo Ngereja wengine tupo kwenye kupiga box na tukipata chance ndio tunaingia kuchungulia
 
Mida hii wakati Mh. Ngeleja akichangia bajeti, ameishambulia bajeti mbadala ya Chadema na kuwa sahambulia Chadema kuwa ni waongo na wanawapotosha wananchi, kaongea kwa hisia kali na hasira akiwaita Chadema kuwa hawawezi kuwa seikali mbadala na kuwaambia kuwa ni rahisi kuandaa bajeti ya harusi na si bajeti ya nchi!

Mjadala bado unaendelea na miongozo ya Mh. Mbowe, Mdee na Tundu Lissu!
 
Duh,hio bajeti ya upinzani ina act kama mbadala si ndio.sasa tundu lissu anasemaje tena?.
 
Huyu ana uchungu wa Kupigwa chini...unaongeleaje hoja Nyepesi ya Typing error

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mtafaruku mkubwa wazuka Bungeni baada ya Lissu kutoa ufafanuzi kuwa ile si bajeti mbadala, bali ni mapendekezo katika bajeti ya serikali. Na Wabunge wa CCM wanapotosha wananchi na kuwaambia wapinzani ndiyo wanapotosha. Kipengele cha kutoonyesha mapato kimeleta mtafaruku sana. Halima Mdee amemponda waziri Ngeleja kwa kutochaguliwa tena baraza la mawaziri na kuongeza mtafaruku mpaka Spika akamuamrisha afute hiyo kauli kabla ya kutoa taarifa ya ufafanuzi wa marekebisho ya kipengele cha mapato ambacho kilishatolewa ufafanuzi. Mdee ameonya ya kuwa, kama mtu huna update ya jambo husika, basi usitumie ukumbi wa Bunge kujitafutia umaarufu.
 
Ni baada ya kuanza kutaka kujipatia umaarufu kupitia chadema,, ndipo,, amekutana na mtasha tundu lissu,, na kumtuliza,, ngeleja kwa ujuha wake,, wa kudandia hoja juu juu

Huo mzimu umezimwa na Mb Halima mdee baada ya kumwambia anaongea kwa jaziba sababu ya kupoteza uwaziri na kutokuhudhuria bungeni, sababu suala alilokuwa akidai Ngeleja ni kwamba bajeti ya kambi ya upinzani haina chanzo cha mapato, wakati suala hilo liliishafanyiwa marekebisho kutokana na kasoro za uchapishaji.
 
Back
Top Bottom