sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 137
- Thread starter
- #121
:A S tongue::smow: kwwenye profilefacebook yake ameandika yeye BADO ni waziri wa nishati na madini tz
Mzee dhaifu wa MEGAWATT!Baada ya kutemwa uwaziri ni kweli amekuwa na hasiara sana .Alichokuwa anafanya Bungeni haikuwa akili yake ya kawaida maana ilikuwa ni mara ya kwanza kuchangia kama Mbunge so he was learning.Ila alianzia pabaya ambapo hajui anacho kisema .Najua Ngeleja unatamba na ukibisha nisema lini na wapi ulimsema ukiwa umepata kilevi .Ngeleja anatamba kwamba soon ataibuka tena kwa kishindo na wanao lia watalia zaidi .Akima maanisha kwamba muda wowote anaweza kuukwaa ulaji mkubwa zaidi ya Ubunge .Mimi naishi hapa Tanzania Nchi ambayo ukisikia tetesi basi ujue tayari issue tayari .Kwa uwezo mdogo wa Ngeleja kunywa na kuanza kutamba na juzi kubwabwaja bungeni nimeshawishika kutaka kuamini asemayo.Wana JF sasa tutege masikio muda wotre tusikie kama kweli Tanzania mtu aliye shindwa kazi hupewa ulaji zaidi ? Maana tumesha ona wengi ama Ubalozi ama Ukuu wa Wilaya nk .Sasa anakuja Ngeleja povu lile halikuwa la kawaida .Tegeni masikio niko naye koo kwa koo sasa .