Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm

Kauli from down stairs
 
Well, Ngereja alikuwa anaenda na rekodi ambayo wao wenyewe waliita "BAJETI MBADALA" na kuichapa kwenye RAIA MWEMA na MWANANCHI na kitabu cha "BAJETI MBADALA" cha upinzani, ambacho Ngeleja alikuwa amekishika mkononi anakisoma. Kama Tundu Lissu anasema kilichosomwa na Zitto ni "maoni" na sio "bajeti mbadala" kwa nini waoe wenyewe CHADEMA wameiita "Bajeti Mbadala"?

CHADEMA wakachemka tena kusema wana jumla ya ma trillioni ya vyanzo vya mapato lakini ukienda kwenye itemization of funding wamesema mapato ya TRA "zero," na mapato ya ndani "zero." Na Ngeleja akashikilia hapo hapo, rekodi zao wenyewe CHADEMA, utakuwaje na ma trillioni ya mapato kama TRA imekusanya shilingi sifuri? Hahahahahhahaahaaaa....

It was extremely interesting session because it captures a snapshot of what will become once CHADEMA holds government kwa sababu Ngeleja kwa experience yake ndefu serikalini na kwa kukosolewa miaka sita aliongea kama mpinzani vile, kwa hoja ulizozoea kusikia kwa wapinzani, ndo maana ikabidi CHADEMA wamtumie Halima Mdee, Lissu na Mbowe kumkabili. Wakashindwa, ndo maana mwisho wa siku Halima alifuta kauli yake kwamba "Ngeleja ana uchungu wa kutoswa uwaziri" kijembe ambacho kilikuwa hoja nyepesi.

Huna jipya wewe
 
Nani anaruhusu wezi kama Ngeleja kuongea bungeni?? Katiba mpya iweke wazi kuwa ukipigwa chini kwa wizi na ubunge ukomee hapohapo. Mzee Warioba kamata maoni hayo maana ulisema utapokea maono kupitia JF

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm

unakurupuka kama vile umetoka kugongwa, back to the topic
 
Mods unapoondowa post yangu make sure na hii thread unaiondowa kwenye subscription folder langu. huu ni utoto sasa, post yangu kupotea hapa na wala haioneshi kwamba imekuwa deleted by mods.
 
sio Ngereja tu, yeye alikuwa kama figure tu, sema JK ndo amesababisha uchumi kutetereka kwa kufanya biashara ya umeme kupitia richmond, downs na sasa simbion. duuuuu!!! imauma sana
 
Hii ndiyo Tanzania bwana. watu wanapigana vijembe, mipasho, mchiriku kwa kwenda mbele,..... na ikifika jioni mijamaa inavuta mkwanja kana kwamba kuna lolote la maana wamefanya. come 2015 tuondoe huu uozo.
 
Mods unapoondowa post yangu make sure na hii thread unaiondowa kwenye subscription folder langu. huu ni utoto sasa, post yangu kupotea hapa na wala haioneshi kwamba imekuwa deleted by mods.

Acha kulia lia hovyo kama mtoto yatima ukiona Mods wanaondoa post yako kimya kimya hujue aina viwango vya Great Thinkers JF..

Hongera mods kwa umakini wenu wa hali ya juu kupambana na post za kihuni humu JF.

JF Daima
 
Mida hii wakati Mh. Ngeleja akichangia bajeti, ameishambulia bajeti mbadala ya Chadema na kuwa sahambulia Chadema kuwa ni waongo na wanawapotosha wananchi, kaongea kwa hisia kali na hasira akiwaita Chadema kuwa hawawezi kuwa seikali mbadala na kuwaambia kuwa ni rahisi kuandaa bajeti ya harusi na si bajeti ya nchi!

Mjadala bado unaendelea na miongozo ya Mh. Mbowe, Mdee na Tundu Lissu!

Nimependa maneno ya Ngeleja ujumbe tosha kwa Chadema...bajeti ya harusi.
 
Mh. Mdee ndoa yako na mh.Yule wa arumeru ni lini? Tunaisubiri kwa hamu. Halafu dr. Slaa ndoa na mchumba wako bado, maana tunataka tutakapokukabidhi nchi ya kaskazini mwaka 2015 uwe umeoa sio utangetange barabarani. Naomba mwenyewe majibu ajibu Kama hakuna basi wajibu wenyewe watakapoingia humu jf. Viva cdm
Kuna watu wengine utafikiri wametoka chooni bila kuchamba. Pfuuu!!! Rudi basi kamalizie haja na uchambe sawasawa!
 
Noana mama Makinda aliamua kuua soo kiaian, ila alikuabliana na Hoja na Mh. Tundu Lissu kuwa kinachojadilia ni Bajeti ya Serikali na hakuna kitu kinaitwa Bajeti Mbadala bali ni mapedekezo ya kambi ya upinzani.

Ngelaja kakurupuka sana! Kukosa uwaziri mchezo!

Si kukosa uwaziri peke yake kumbuka M4C si imepitia jimboni mwake pia? Mapovu yale yote yaliyomtoka ashaona jinsi alivyokalia kuti kavu. Katika hali ya kawaida ngereja si mtu makini wa kunyooshea wenzake kidole.
 
Duh! Maisha kweli mzunguko....... Ng'wana Ngeleja leo amekuwa mchangiaji na muuliza maswali!
I was watching the TV na nilifurahi sana MAKAMANDA walivyojibu hoja, ila Mbunge wangu Halima Mdee ndiye alinifurahisha zaidi, maana hata ile kauli kaiondoa kiaina huku akichomekea neno lile lile!
 
Leo Ngeleja amejaribu kujipima Nguvu na CDM. Lakini mbio zake zilikwama kwa kamanda Halima. Pale aliporushiwa kombora la uchungu wa kupigwa chini unishati na madini. Shame
 
Jamani mwenye clip ya mchanange huo atuwekee tuliokuwa mbali na TV tuone nahamu ya kucheka
 
Back
Top Bottom