Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

Acha kulia lia hovyo kama mtoto yatima ukiona Mods wanaondoa post yako kimya kimya hujue aina viwango vya Great Thinkers JF..

Hongera mods kwa umakini wenu wa hali ya juu kupambana na post za kihuni humu JF.

JF Daima

Bila kusahau na Tanzania Daima
 
Binadamu tumeumbwa na haya, sasa Ngereja hana haya! angeazima walau hekima kidogo angeleweka amejifananisha na Maige. kweli kukosa kubaya
 

si rahisi kuandaa bajeti ya nchi kama unataka kuiba hapo kwenye bajeti kama ngeleja
 
Wahenga walishaga sema kitambo, Ukiwa mjinga kaa kimya ili watu wadhani kuwa wewe nimjinga kuliko kuongea na watu wakathibitisha kuwa wewe kweli ni mjinga. Sasa Ngereja anona alivyoumbuka
 
kwa kweli ngeleja anatufanya sie wananchi ni watoto wadogo,tena tusiojua kufatilia mambo,naona hawajaamini kuwa tanzania ya leo sio ile waliyozoea kufisadi.marekebisho ya bajeti ya upinzani yaliwasilishwa.hata kama isingekuwa hivyo,kuna sehemu unaonesha comparison ya bajeti hizo mbili na wameorodhesha kila kitu,ila sio tatizo lake ila ni mwisho wa uwezo wa kuhoji mambo,na wale wapuuzi wenzie wanapiga makofi,yaani wabunge wetu wengi ni wabinafsi sana.wanashindwa hata kufananisha raslimali za nchi hii na maendeleo tuliyonayo.apart from that,basi waangalie gape kati ya wenyenazo na wasionazo.nchi hii inamatabaka kwa kila kila idara.mie naona wabunge wetu wengi wanaishi mijini au nje ya nchi,hivyo hawajui lolote kuhusu matatizo yetu.
 
hivi yule jamaa aliyenyonya nido morogoro akalizwa ameshaongea?

Si ni tabia yao hawa jamaa?? mwingine ni first economist UDSM kafumaniwa igunga....Umenichekesha saaana...Lol...you have made my day......
 

hoja nyepesi hazito jibiwa,kichwa chepesi sana

hoja ya kuoa au kuto oa hapa si mahali paka,nadhan ukitaka majibu hutoyakubali najua.

Plz nenda jukwa mapenzi.

Wewe ni dhaifu.
 
Mods unapoondowa post yangu make sure na hii thread unaiondowa kwenye subscription folder langu. huu ni utoto sasa, post yangu kupotea hapa na wala haioneshi kwamba imekuwa deleted by mods.

kwani mpaka yako ionekane,basi ukute umerudia kilicho andikwa na wenzio.
Ladda ina kera ndio maana
 
Cha kushangaza zaidi nimemsikiliza kwa makini na kumuona akiongea as if bado ni WAZIRI!!!!!
 
Mods unapoondowa post yangu make sure na hii thread unaiondowa kwenye subscription folder langu. huu ni utoto sasa, post yangu kupotea hapa na wala haioneshi kwamba imekuwa deleted by mods.

MOD wa Kikundi cha UAMSHO huyo!
 
Nimependa maneno ya Ngeleja ujumbe tosha kwa Chadema...bajeti ya harusi.

ngeleja ameendelea kutoa ushahidi jinsi jk na serikali yake walivyo dhaifu leo ngeleja ni lulu mbona mlifukuza uwaziri?
 
JF tumeingiliwa na machizi.
 
Yan mwizi anajitutumua bungeni! Kweli jamaa ni jasiri sana.
 

Lazima awachukie maana wao ndo walishikia bango ule upepo wa kisiasa usipite!
 
Ngeleja anasema CDM inapotosha na kudanganya wananchi. Namshauri awafuate hao wananchi wanaodanganywa kwa kuitisha mikutano ya hadhara kama ana mashiko.
 
Ngeleja ameishia kuaibika, kumbe wakati wa marekebisho ya maoni ya Kambi ya upinzani kuhusu budget juzi hakuwepo. ameambiwa na mdee kuwa ana uchungu na kutemwa uwaziri.

Hapo kuna ukweli ndani yake!
 
Kila la heri ngereja tutakutana 2015 mr.megawatt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…