countryboy me
Member
- Oct 30, 2018
- 95
- 81
- Thread starter
-
- #21
Kwa kikwetu (dodoma) ng'e tunawa group katika makundi mawili; kundi la kwanza ni 'nje', hawa ni wale wadogo wenye rangi kama kama nyeupe ya manjano flani hivi. Hawa wana sumu kali sana, akikung'ata huyo utaimba mapambio yote. Na kundi la pili ni huyo ulimuweka mleta mada, tunamwita 'njeajea'. Mara nyingi hawa huwa ni makubwa jinga, hayang'ati. Na akikin'gata uchungu wake ni wa kawaida sanaaa.
NB: nimeshawahi kung'atwa na wote wawili hivyo nina uzoefu usiopaswa kutiliwa shaka.[emoji3][emoji3][emoji3]
sumu wanayo kama nnge wengine, ni sifa yao kuwa na poisonous sting ili kujilinda na adui.Ooh!!,vipi,wana sumu!?
Sio porini mkuu..ni nje kidogo ya mjini
Dar mkuuUpo Dodoma?
Hata Dodoma Ni wengi hao Tena huwa WAKUBWA zaidi ya hapoWa ivyo Nasikia Wanapatikana kwa wingi dar tu na mombasa tu
Hayo makubwa hayana simu Kali Kama vile vidogo halafu hata Kasi Yao ya kutembea Ni ndogo ukilinganisha na vile vidogosumu wanayo kama nnge wengine, ni sifa yao kuwa na poisonous sting ili kujilinda na adui.
Huyu aina ya kazi na Bata ndo maana hakumng'ata dogoNimemkuta mwanangu akiwa anacheza naye.View attachment 968126View attachment 968127
[emoji12] [emoji12]Angemmeza mtoto huyo.siku ingine uwe makini na mahali watoto wanacheza