Ngawaiya: CHADEMA wanapewa pesa na Marekani kuchochea fujo

Who is the owner of Protea Hotels and Keys Hotels. When the time comes all you will regrect to what you are
chearing and making bang bang here at jf
The contentious issue is not owning property. The issue is how one acquired that property.
 
The contentious issue is not owning property. The issue is how one acquired that property.
really?If not through "intellectual property",owning a property above the average(34% live below poverty line) is straight up unfair!
 
Hii ni kweli. Kati ya chama chenye dalili ya kuiasi serilikali ni chadema. Na uasi huo wamepanga kuanzia Arusha, Ki
limanjaro na Mwanza. Hela zote zipo kwa ndesamburo. Njia za kuasi serikali ni kushawishi vijana na wanavyuo kama ilivyo Libya.

Acha umbumbumbu wako,
marekani walikuja kukata umeme TZ?
marekani walikuja kupandisha bei ya umeme?
marekani waliwaambia mng'ang'anie kutaka kuilipa dowans?
wizi wa EPA umeletwa na wamarekani?
marekani waliwaambia mtoe rasilimali za wananchi bure?
wamarekani waliwaambia muwabague wanachuo kwenye mikopo?
wamarekani wamewaambie muwakejeli wafanyakazi?
wamarekani wamewambia beiza za vitu zipande bila mpangilio?
marekani wamawaambia mkaue raia arusha?
marekani wamewaambia nyie CCM ndio mtengeneze katiba ya hii nchi?
marekani ndio waliwaambia mlee mafisadi?
marekani wamewambia mchakachue kura za wananchi?
Au haya yote meambiwa myafanye na CDM?
mbona mnakuwa kama hamna akili nyiye CCM?

Haya ndio mambo yatakayo watoa madarakani msipojirekebisha mapema, tuna hasira sana na nyiye mafisadi
 
Taratibu mkuu, ccm hawawezi kabisa kuelewa unasema nini, wako wengi lakini utadhani wanatumia kichwa cha mtu mmoja tu kufikiri. Lugha pekee wanayoelewa ni nguvu ya umma, ingawa uwezo wao wa kuijibu nguvu ya umma ni mabomu na risasi badala ya kutatua matatizo yanayosababisha nguvu ya umma kama hayo uliyoorodhesha.
 
Anatafuta cheap popularity tu huyu. From tLp to where he is now Nadhani hajawahi kuwa mwanasiasa maarufu hapo kale, sasa na tuendako. So hii yaweza kuwa gia yake ya kuutafuta umaarufu tu ambao hataupata.
 
Acha umbumbumbu wako,
marekani walikuja kukata umeme TZ?
marekani walikuja kupandisha bei ya umeme?
marekani waliwaambia mng'ang'anie kutaka kuilipa dowans?
wizi wa EPA umeletwa na wamarekani?
marekani waliwaambia mtoe rasilimali za wananchi bure?
wamarekani waliwaambia muwabague wanachuo kwenye mikopo?
wamarekani wamewaambie muwakejeli wafanyakazi?
wamarekani wamewambia beiza za vitu zipande bila mpangilio?
marekani wamawaambia mkaue raia arusha?
marekani wamewaambia nyie CCM ndio mtengeneze katiba ya hii nchi?
marekani ndio waliwaambia mlee mafisadi?
marekani wamewambia mchakachue kura za wananchi?
Au haya yote meambiwa myafanye na CDM?
mbona mnakuwa kama hamna akili nyiye CCM?

Haya ndio mambo yatakayo watoa madarakani msipojirekebisha mapema, tuna hasira sana na nyiye mafisadi
Maneno sahihi kabisa,lakini jambo la ajabu watajifanya hawakuelewi umesema nini. Jana nilikuwa nazungumza na kada mmoja wa CCM wa siku nyingi na akanishangaza kwa kuniambia kuwa yeye na baadhi ya wenzake sasa hivi wanaona aibu hata kujitambulisha kuwa wao ni wana CCM kutokana na uropokaji,ufinyu wa uelewa,mawazo mgando nk. unaowakumba baadhi ya viongozi wao.
 
Yaani chadema inawanyima usingizi balaa, hadi watoboe 2015 watakuwa wamemalizwa na vidonda vya tumbo na presha achilia mbali visukari!
 
Naona wengi wanafikiri kuwa kuitowa CCM madarakani kwa nguvu ndio kutatuwa matatizo, hawaoni wala hawasomi kuwa huo ndio utakuwa mwanzo wa matatizo, wanioneshe nchi moja iliyotolewa serikali iliyopo madarakani kwa fitina yenye kukalika duniani hivi sasa.
Acha ubwege huo kwa maana hiyo unataka kuudanganya umma kwamba nchi hapa ilipo inautengamano? Hebu jaribu kufikiri kwa kichwa na wala sikwatumbo.
 
Yaani chadema inawanyima usingizi balaa, hadi watoboe 2015 watakuwa wamemalizwa na vidonda vya tumbo na presha achilia mbali visukari!

Mkuu Genekai huoni njia ya kwenda kwa babu loliondo imetengewa fungu ili iweze kupitika!
 
Who is the owner of Protea Hotels and Keys Hotels. When the time comes all you will regrect to what you are
chearing and making bang bang here at jf

Protea Aishi mali ya urithi! Keys kajitafutia mwenyewe haikuwa kwenye mikataba ya ajabu ajabu. Tafuta pia Impala, Naura na Ngurdoto niza nani!
 
Kwavile Ngawaiya ni kiongozi katika chama basi kauli yake inabeba msimamo wa chama chake. Sasa tusubiri reaction ya Balozi wa US juu ya tuhuma hizi nzito. CCM inaruhusu viongozi wake kukifunga Jiwe chama ni kukitupa baharini. Kinazama hivyo
 
I think it is high time now CHADEMA has to do something on these kind of peoples. Unajua Uongo ukisemwa saana na wewe unayesemwa ukikaa kimyaa bila kuchukua hatua kali ina maana kuwa yote yanayosemwa ni ya kweli. Kasema Sophia Simba, Akasema Membe na leo amesema Ngawaiya. Chadema inabidi kuwafungulia mashtaka hawa watu kwa kuwazushia. Msipofanya hivyo jamii itaamini katika hayo yanayosemwa.
 
Ipo siku mtawajua hawa chadema nia yao ni ipi baada ya nchi hii kutotawalika kabisa kama wao wanavyotaka endeleeni kuwaanini

Kanya-SU, POLE SANA!! LABDA TUJUZE KWANINI NCHI ISITAWALIKE? IT IZ BCOZ CCM DOESNOT WANT, OH WE HAVE ALREADY SEEN ALARMING SIGNS FROM 2010 GE. MAJIMBO MENGI CCM WAMECHUKUA KIMAGUMASHI KAMA TAARIFA ZILIVYOONYESHA eg: Arumeru, magu, kgm mjini, shy mjini. unless you do Bgabo style, then ccm itapotea kama KANU. CDM INATAKIWA KUELIMISHA UMA HASA WA VIJIJINI. TAARABU WANAZOIMBA KWNY MJADALA WA KATIBA NI HATARI. NGAHAWIYA KAMA KWELI AMESEMA HAYO ITS HIGH TIME TISS AND GOVT MACHINERIES ZIIANGALIE SHERIA YA FINANCIAL CRIME AND
 
Wallah nampigia simu Obama hii ni kashfa nzito sana serekali lazima itoe tamk katika hili otherwise itatu cost kwa sababu ya mamuluki mmoja, kwanza huyu ngawaiya hana lolote elimu yake ndogo ni vijisenti anavopata kwenye Vifuso na Vi scania kadhaa, Kwanza anahela za uganga na anaishi na taahira ndani, Ameshawahi kuwa mbunge watu wakamshtukia waka mtema, anatafuta umaarufu kwa kushika sharubu za chui...? Vyombo vya Usalama vimuhoji vizuri kwani inawezekana tukamuona mropokaji kumbe ana ushahidi au tukamuamini mropokaji, ila nimjuavyo mimi ni childhood huyu Ngawaiya
 
mmh kwamba alikua anapewa pesa yeye na mrema kuleta machafuko na fujo nchini!! hivi alikua anaongea hayo maneno baada ya kufukamia mbege au vp?

.
Atakuwa alifakamia mbege iliyopitisha siku za kunywewa, yaani 'NGERA'
SasaKwa sababu anadai mrema ndio alimshtua huhusu kutoendelea kuchukua hizo pesa, hajaweka wazi kwamba ndio sababu iliyomkimbiza tlp ili akaendelee kuzipokea ndani ya ccm?
.
 
Hii ni kweli. Kati ya chama chenye dalili ya kuiasi serilikali ni chadema. Na uasi huo wamepanga kuanzia Arusha, Ki
limanjaro na Mwanza. Hela zote zipo kwa ndesamburo. Njia za kuasi serikali ni kushawishi vijana na wanavyuo kama ilivyo Libya.

Ni Lipi Zuri amabalo linaashiria kuwa wnanchi tumetendewa na kuwa wnanchi wanaraha ba yanayo tokea? Leo mimi ningelkuwa na kazi nitakuwa na muda kwenda kenye maandamano? Leo watoto wangu hawana chakula lakini wakati huo huo kuna mafisadi wachache wamechukua pesa zetu ambazo zingeongeza ajira amwekeza nje ya nchi, pesa amabzo zingeenda hospitali ameenda wekeza nje ya nchi, hivi wewe unakili kweli labda uniambie na wewe ni Fisadi mmoja wapo ndio sababu unaitetea serikai hii chafu na mbaya. Shut up your mouth and I don't want to see you again on this Forum, You Fool!!!!!!! We will fight for our country to the end!
 
Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu

Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema akajisalimisha ccm

Ameongea kwa kutumia wadhifa wake wa Mkiti wa wazazi wa ccm mkoa wa Kilimanjaro

Amesema yeye na MREMA waliwahi kupewa pesa na serikali ya marekani ili wachochee vurugu tz watu wauane ili nchi ionekane ni ya machafuko kama kenya. Amesema alikuja pesa na kuanzisha maandamano sana Dar

Amesema baadaye Mrema alimwambia kwamba hizi pesa wanazopewa kuanzisha vurugu kwenye nchi Yao wakati wamarekani wamekaa kwao kwa amani hazifai. Wakawakatalia wamarekani halafu mrija wa pesa ukakatwa.

Amesema ni staili hiyo wamarekani wametumia kuleta uasi huko afrika kaskazini. Kwamba Hapa tz wamewapatia Chadema hizo pesa ili wachochee uasi Kama ule wa afrika kaskazini. Kwamba ndo maana Chadema "wanachochea vurugu" kwa sababu wameshalipwa pesa.

Alikuwa anaongea kwa kujiamini huku akieonekana kama yuko kwenye group activity fulani, sikuina vizuri, labda walikuwa wanapanda miti.

Hii ni Kashfa ni Eidha tupate Ukweli na ushaidi wa Ngawaiya au CDM kuhusu jambo hili na sisi wananchi hatutalinyamazia hili, na kama ni kweli CDM watuambie kwanini wafanye hivyo? kama kuna uongo basi hii ina maana kuwa Ngawaiya takuwa na kesi ya kujibu lakini na wasi wasi na mahakama zetu hazita weza muadibisha.
Tundu Lissu Please take Action!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom