Mkuu mimi niliposema mtoto sikumanisha mtoto U20 au U18, nilimanisha ni mtoto ukimlinganisha na mimi.Ngasa sio mtoto kama mnavyodhani,yule ni kibabu wa kichina!Waulize watu wa Mwanza hususan Magu watakwambia ameanza kucheza lini tena akiwa na familia yake mama na watoto kadhaa!Nitawashangaa Simba wakifanya uhuni wa kumsainisha kama wazungu walivyomfanya Sultani Mangungo wa Msovero!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums