Ngassa kutambulishwa leo,aliahidiwa 3m kila goli!!!!!

Kule alienda kwa mkopo mkuu wangu Sinkala, pole kwa kipigo
Ha ha haa! Mkopo ulikuwa mwaka mmoja ambao ndio umeisha, dogo alisaini bila kusoma kilichoandikwa, aliongeza mmoja hadi 2014. Si umesikia anajitetea kwamba "mimi sikujua"? Kuhusu kipigo ndo hivyo tena, safari hii tutasajili mchanganyiko wa vijana na wazoefu !
 
Ni sahihi mkuu!
Ata baadhi ya vyombo vya habari vimeriport juu ya hili.
basi itakuwa haina tofauti na 'ugaidi' wa mpira. Naamini binafsi watu wenye mapenzi mema na mpira (mpira sio timu moja) inabidi walaani hiki kitendo kama kweli kilitokea. Kumbe ndizo fitna za soka la bongo hizi, clearly hatutakaa tukawaona akina Nonda, Malliga, Oliechi, Katongo nk wakitokea hapa kwetu!
nazi.jpg
(avatar ya mtu hapa jf) ...au ndio wote tuko hivi!
 
Mimi nawashauri viongozi wa Simba waachane na Ngasa hata kama kweli alisaini mwaka mmoja zaidi, wahangaike kutafuta wachezaji wengine tu kama ni kutoka timu zingine sawa, kama ni kutoka nje ya nchi sawa, kama ni kupandisha wengine kutoka timu B sawa, lakini hawatakiwi kuanza kumgombea huyu mtoto, wamwache aende kula roho yake inapenda na mimi namtakia kila la heri katika maisha yake ya soka.
 
Ha ha haa! Mkopo ulikuwa mwaka mmoja ambao ndio umeisha, dogo alisaini bila kusoma kilichoandikwa, aliongeza mmoja hadi 2014. Si umesikia anajitetea kwamba "mimi sikujua"? Kuhusu kipigo ndo hivyo tena, safari hii tutasajili mchanganyiko wa vijana na wazoefu !

Huu ndo uhuni wa Rage anao fanya kwenye mikataba, hata kwa Yondani alifanya hivi hivi
 
Aende zake! Huwezi kuishi na mchawi nyumba 1. Asepe tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Karibu nyumbani Ngassa ulikuwa umepotea

Huyo nae ni mchezaji wa kutegemewa?Mchezaji gani leo ancheza vizuri kesho anacheza vibaya mara anabweteka amini hicho mmepata kimeo, muda si mrefu utakumbuka ninayokuambia leo.Kwa uhakika zaidi hebu Tazama alivyokuwa anacheza AZAM, anavyocheza Simba na anavyocheza Taifa Stars, hicho ni kimeo.
 
mwenda kwao si mtoro, kwa nini uhangaike wakati una kwenu.?
 
Kwanza nawapongeza first 11 na wachezaji wote kwa kazi nzuri ya kutuondolea kelele mtani jamaa walilala mapema hata ulinzi ilikuwa rahisi, zaidi nawpongeza viongozi makini wa klabu yetu. Ushauri wangu kwa Simba wafungue mradi wa kuuza maduka mtaa wao kwa biashara uko vizuri, pia wagombee ubunge mpira watuachie!
 
Ahsante sana mkuu kwa mipicha!
Jf ni zaidi ya habari!

IVI Ngassa ina single s au double s????? kama wenyewe Yanga hamjui ata jina sahihi lake iyo inaonesha hamko serious nae....Ila Ngassa nae hamnazo bongo mpk lini wewe mtoto? umri ushaenda huo utu uzimani utakuwa unafanya nn sasa?
 
Hahahahahahaaaa!
Naona umekaa ki AZAMSIMBA zaidi.
 
kashatambulishwa. kasema anafurahi kujiunga na timu ambayo anaipenda toka moyoni so atafanya vizuri sana. mia
 
Kwanza nawapongeza first 11 na wachezaji wote kwa kazi nzuri ya kutuondolea kelele mtani jamaa walilala mapema hata ulinzi ilikuwa rahisi, zaidi nawpongeza viongozi makini wa klabu yetu. Ushauri wangu kwa Simba wafungue mradi wa kuuza maduka mtaa wao kwa biashara uko vizuri, pia wagombee ubunge mpira watuachie!
Wagumu kukumbuka lakini wepesi kusahau, hivi Umesahau ni miezi michach etu nyuma kuna watu walilia uwanjani kama watoto walionyimwa wali na maharage na mwingine babu wa watu Moro goro alifariki ghafla baada ya kupigwa mkono kwa bila.

Je nao Yanga waliacha mpira, mbona pale Kaunda kwenye matope pana kambare wa kutosha, je mlieenda kuvua ?
 
Huyo nae ni mchezaji wa kutegemewa?Mchezaji gani leo ancheza vizuri kesho anacheza vibaya mara anabweteka amini hicho mmepata kimeo, muda si mrefu utakumbuka ninayokuambia leo.Kwa uhakika zaidi hebu Tazama alivyokuwa anacheza AZAM, anavyocheza Simba na anavyocheza Taifa Stars, hicho ni kimeo.
Maji kupwa maji kujaa, na wale machangudoa wa Sinza atawaachia nani? Chezea Sinza wewe ndiyo maana hata Sudan alikataa kwenda aliona atawamiss.
 
kashaisha hata kama karudi analolote ni bora katupunguzia matatizo kila siku ooho hataki kuifunga yanga ana mapenzi nayo kaisha uyo anatena sera
 
Mimi nawashauri viongozi wa Simba waachane na Ngasa hata kama kweli alisaini mwaka mmoja zaidi, wahangaike kutafuta wachezaji wengine tu kama ni kutoka timu zingine sawa, kama ni kutoka nje ya nchi sawa, kama ni kupandisha wengine kutoka timu B sawa, lakini hawatakiwi kuanza kumgombea huyu mtoto, wamwache aende kula roho yake inapenda na mimi namtakia kila la heri katika maisha yake ya soka.
Ngasa sio mtoto kama mnavyodhani,yule ni kibabu wa kichina!Waulize watu wa Mwanza hususan Magu watakwambia ameanza kucheza lini tena akiwa na familia yake mama na watoto kadhaa!Nitawashangaa Simba wakifanya uhuni wa kumsainisha kama wazungu walivyomfanya Sultani Mangungo wa Msovero!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
ati jembe.. Akili za yanga hazikosani na za chura.. kufurahia mvua wakati mtungi wa kuhifadhia maji ya mvua hana.. mvua ikiisha na maji kwisha..! Ingekuwa vizuri kama chama cha riadha ndo wangemchukua awasaidie na zile mbio za Sunday Juma uwanjani..
 
Back
Top Bottom