Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Tambuu kale na jamaa zenyu Yanga bana eboooo!!!CDM iko juu mtakomaaaaaaaaa leo tunakata mikandambili yenu mtarudi mnapekua leo!!

teh, kweli we zako ulishachanganya kitambo na za makalio ya "jairo". Amani ya bwana iwe nawe!

Tutakutana kwenye ligi ,Sam Timbe ni mtaaalamu wa kuchukua makombe sio hizo ngao

Angalau tujifariji na ngao maana hawa Yanga ni mabingwa wa Tanzania na ni mabingwa wa Afrika mashariki na kati.

Aisee, ha ha haaaa,......
Katikati ya mistari inaonyesha unang'ata na kupuliza,nimekusoma mkuu!

....Ha ha ha tangu lini ulisikia Chacha Mwita Marwa anacheza mpira ? 🙂 ...tumeona akina Asamoah halisi jana akichezea Udinese, mghana gani aje kuchezea timu mbofu yenye makao makuu ktk maji machafu jangwani na kulipwa kwa mafungu-mafungu.....!! Eti faburigasi, mara sijui Kijiko....nyie janja yenu kwisa jua ndo maana tukasajili beki nzuri nyingine....... wale waliokuwa wanauza mechi wote tupilia mbali sasa kila mkinusa ni kichapo tuu mpaka hao wafazili wenu mafisadi wasuse kutoa ndururu...... rupia, riz1, Manji, jairo, Anna Makinda, Tujisente.......... lol..

Pilau ni jadi ya waislamu, kwani wewe hujui kwamba Simba ni timu ya waarabu?

Kwamba ni timu ya waarabu nilikuwa sijui................................!
Kwamba wanapenda ubwabwa nilikuwa nafahamu,ndo maana nikamuomba mdau kimey asinisahau.
Ila huyu kimey mbona hana nasaba ya middle east kama ndo wenye timu?

Hii mechi bora simba wameshinda, maana kama yanga tungeshinda . . . . Yaani hakya mungu simba wangesambaratika . . .
Tumewakamua ubingwa wa tanzania bara kwa makofi ya mbao
tukawabandua tena kagame live live bila hata chenga
leo tena tuwabandue, aaaah sio vizuri jaman . . .

Simba ni timu ya waarabu, sisi tuliozalwa Dar tunalifahamu hili vizuri, wengine ni misukule wanafuata upepo. na Yanga ni timu ambayo imetekwa na ccm na naendelea kutafakari kama kuna ulazima wa kuendelea kuinga mkono Yanga.
Yanga ina tatizo la kiihistoria lakini inatakiwa ijitoe kwenye kukumbatiwa na ccm.isipojilekebisha hili nitajitoa rasmi Yanga.

...YY bana, just few hours ago hatukusikia maneno haya, sasa baada ya kichapo cha mbwa mwizi ndo tunaanza kusikia haki ya shetani, ect....

kwa kuchonga tuu hamjambo, sisi tumeonyesha wa kitabuni na kwa jeuri ya kumweka Kago benchi kwanza na goli zimepachikwa swaaafiii.... Mbwembwe zote za kutimua watazamaji eti Timbe anawafundisha vitu hatari ipo wapi ? Next time akawafungie stoo au jikoni ili mfanye vizuri mazoezi kwa kujificha na mkija tena ni bao tuuu...

Back
Top Bottom