Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
ngoja nilale hii yanga leo n kmeo!
atabahatisha ma3

Huyo wa-kubahatisha tu!

Mbona unaongea kinyonge hivyo kiongozi?
mkuu tulia hii thread itakuwa ya yanga soon.mfungaji nani?Yanga wansawazisha pale dakika ya 68 Simba 2 yanga 1
Mkuu mimi nahamia ATN wanaonyesha UEFA Bayern vs FC Zurichngoja nilale hii yanga leo n kmeo!

mkuu mimi sio mnyonge, kwanini niongee kinyonge? Nilikuwa sijapata nafasi ya kumuona kago na hivi mlivyokuwa mnamlilia ndo nikapata hamasa ya kutaka kumuona.
mkuu umeshalala?kwanza zile rangi wanazotumia zinatumiwa chama fulani ...lakini yanga naipenda!
Yanga wansawazisha pale dakika ya 68 Simba 2 yanga 1
unakimbia eh!ntakuja na huko.Mkuu mimi nahamia ATN wanaonyesha UEFA Bayern vs FC Zurich