Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Yanga Vipi? Mnasubiri Extra Time? Tehtehteh Leo hakuna Extra Time ni muda tu wa kula daku ndio umebakia tehtehteh Simba Raha si Rahaaaaaaaaaa? Rahaaaaaa.
 
Simba Taifa kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
...Hivu yule tegete, Gumbo sijui na yule mkimbizi wa Azam waliokuwa wanachonga sana kwenye fesibuku sijui watakuja na ngebe gani leo...
 
ahsanteni wadau kwa updates,usiku mwema,yanga poleni leo ilikuwa zamu yenu kuumia,sidhani kama hyo daku itapita hapo kooni,anyway ndo game ilivyo! !
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
kama msingeshinda game hii mngesambaratika. Tuliwapokonya ubingwa siku ya mwisho na kagame tukachukua mikononi mwenu. Sio mbaya na nyie mwende bungeni kusafisha macho.
hahaha Fungu la kukosa! Pole kiongozi wangu
 
Duh! Kumbe kwenye Kagame Mtani ali-beep? Leo kapigiwa anashindwa kujibu, ha ha ha haaa.......!!!!!!!
 
hakuna cha Asemoah, Tegete, Niyonzima''fabrigas''' Kiiza, Berko, Chacha Marwa wala Canavaro -- Habari ndo hiyo.
 
Yanga Vipi? Mnasubiri Extra Time? Tehtehteh Leo hakuna Extra Time ni muda tu wa kula daku ndio umebakia tehtehteh Simba Raha si Rahaaaaaaaaaa? Rahaaaaaa.
<br />
<br />
mbona hamtukaribishi daku watani mnakuwa wachoyo kiasi hicho? Njaa ukiongezea na hiki kichapo inakuwa ni nouuuuma!
Anyway hongereni kwa kujitutumua leo,simba kupakatwa kila mara haipendezi hata kidogo!
 
yanga africa - machampion wa makombe ya maana
simba mishikaki - spealists wa makombe ya mbuzi
 
Back
Top Bottom