mkuu tulia hii thread itakuwa ya yanga soon.mfungaji nani?

atabahatisha ma3
Dakika ya arobaini (40) kipindi cha pili.
goli bado ni 2 kwa 0 asikudanganye.

Makali ya kago kwa mtaji huu huwezi yaona! Maana ndo tunamalizia dakika! Ntakupa pole baadae ngoja kwanza

Jamaa mbona mwatuchanganya sasa?? Ndo tumeingia tu hapa...ni 2-1 au 2-0