Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833

unauliza au unawajulisha mimi simba mkuu kama hujui hata tukufugwa mia

Hahaha pamoja mkuu! Mi nilijua we Yebo

unauliza au unawajulisha mimi simba mkuu kama hujui hata tukufugwa mia
jibu zuri sanakwani umeambiwa simba ni ccm??
kwanza zile rangi wanazotumia zinatumiwa chama fulani ...

Hahaha pamoja mkuu! Mi nilijua we Yebo

hizi sasa tambuuu za maji taka! Kumbe na siasa ndani? Teh!
nakukubali mkuu huwa huweki ushabiki mbele..Hongereni sana watani zangu kwa kandanda safi la 1st hal(japo siuangalii mpira,TANDARKSCO wamefungulia giza mapema)....Naona(kwa mujibu wa TBC Taifa) Yanga wanakimbiakimbia tu uwanjani......Kila la heri,mnastahili kuchukua 'ubingwa' wa Ngao ya jamii.....Yanga tumeonekana kushindwa hata kabla ya kungia uwanjani(kwa kutishia kutoingiza timu uwanjani)......

Monde ni bia crashwise karibu sana tusherekee ushindi kwa hawa watalii wa bungeni!

kwao zambia kaja simba akitokea northen africa *(egypt)*
Hongereni sana watani zangu kwa kandanda safi la 1st hal(japo siuangalii mpira,TANDARKSCO wamefungulia giza mapema)....Naona(kwa mujibu wa TBC Taifa) Yanga wanakimbiakimbia tu uwanjani......Kila la heri,mnastahili kuchukua 'ubingwa' wa Ngao ya jamii.....Yanga tumeonekana kushindwa hata kabla ya kungia uwanjani(kwa kutishia kutoingiza timu uwanjani)......[/QUOT]a
Sikutegemea kama wewe upo, nashangaa unakuja kujitokea kwenye thread za kizembe kama hii! kwanza nakukosoa hakuna ubingwa wa ngao ya Hisani dunia hii, pili Simba ndio ilikuwa ya kwanza kusema haitoingiza timu uwanjani, lakini hili halifanyi nisikemee upuuzi wowote walioufanya Yamga.
ngoja tusubiri game liishe...Monde ni bia crashwise karibu sana tusherekee ushindi kwa hawa watalii wa bungeni!