Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

.....eti mfungaji nani, hujui huyo anaota na yupo usingizini. Tangu lini 2-1 ikawa kusawazisha ???
 
Gerrald@ hata iyo atn inatazamika! wameshanichanganya hawa yanga! leo itakuwa mbaya! hata real madrid watachapwa!
 
[ QUOTE=Billabong;2374255]Hawa tanesco vipi mpaka tuwakumbushe![/QUOTE]

I like your avatar but not you!
 
&lt;br /&gt;<br />
Makali ya kago kwa mtaji huu huwezi yaona! Maana ndo tunamalizia dakika! Ntakupa pole baadae ngoja kwanza
<br />
<br />
kama msingeshinda game hii mngesambaratika. Tuliwapokonya ubingwa siku ya mwisho na kagame tukachukua mikononi mwenu. Sio mbaya na nyie mwende bungeni kusafisha macho.
 
Reactions: SG8
Mtani kashikwa pabaya leo, tunasubiri visingizio tu sasa!
 
Game imeisha?
Ngoja turudi kwa Madrid Vs Barca
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…