Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,068
- 2,225
mkuu mnashangilia kabla game halijaisha!mbona hasira mkuu ni huu ni mpira tu
mkuu mnashangilia kabla game halijaisha!mbona hasira mkuu ni huu ni mpira tu
<br />yeboyebo kiasi fulani wametulia..
haya mabadiliko yatatusaidia pale katikati kiiza alionekana kutusumbua hapo katikati..kiemba, kago wameingia na boban na machaku wametoka..naona yanga wameng'ang'ania langoni mwa simba.
inatokana viungo machaku na boban kuchuja..lakini kuingia kwa kiemba na kago mambo yata badilika...yanga sasa wanaonekana kutulia.
Jina zuri la mtu kama huyu ni ZUZU....Kelele mingi bana, wapi Yebo Yebo sasa ? Tuliwaeleza fitna zetu hazisaidii mlizoea sana akina naniii kuwapa magoli sasa leo yupo benchi na haingii ng'o labda mpaka ikiwa 5-0 ! Magalasa yenu yanaonekana na naona sasa mmemuingiza mtoro ... Fabrigasi kama Sharapova, hii kabumbu bana mnyama leo lazima aanzishe bakora pale kwenye dimbwi la maji machafu..... ohh pale ambapo rz1 atapewa tenda ya kujenga bustani za kupumzika, public pool na mabembea ili malofa kama Poulsen waweze kupata nafasi ya kuogelea na kujifunza gozi la ng'ombe...
una uhakika?Leo umeme haukatiki, na simba leo ndio wanakabidhiwa kombe la ubingwa wa lkombe a Kagame.
<br />Haya kago ndani ya dimba kuchukua nafasi ya boban. Simba walikuwa wanamlilia sana,ngoja tuone kiwango chake.