Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
hii kali...Naipenda sana yanga hasa inapofungwa........ Nidhamu
hii kali...Naipenda sana yanga hasa inapofungwa........ Nidhamu
Siungi mkono ushabiki wa kipumbavu kama huu.

Tambuu kale na jamaa zenyu Yanga bana eboooo!!!CDM iko juu mtakomaaaaaaaaa leo tunakata mikandambili yenu mtarudi mnapekua leo!!
Ushabiki wa kitoto sana kufananisha Simba na CDM. So Nkamia,Sitta,Rage,Kapuya, na ndugai wapo CDM? This is too low

Tambuu kale na jamaa zenyu Yanga bana eboooo!!!CDM iko juu mtakomaaaaaaaaa leo tunakata mikandambili yenu mtarudi mnapekua leo!!
tuko pamoja !Game bado bichi sana tutarudi tu YANGA Mbele daima nyma mwiko
Tambuu kale na jamaa zenyu Yanga bana eboooo!!!CDM iko juu mtakomaaaaaaaaa leo tunakata mikandambili yenu mtarudi mnapekua leo!!
ni mzuka tu kama vipi mpotezeeni...Ushabiki wa kitoto sana kufananisha Simba na CDM. So Nkamia,Sitta,Rage,Kapuya, na ndugai wapo CDM? This is too low
haikuhusu!Naona yanga wqamemuingiza mtovu wa nidhamu hamis kiiza kuchukua nafasi ya kigi makasi. Mambo yamewaelemea wameamua wamuingize kiiza aliyekuwa ametoroka juzi.
atasave nyingi but lazima afungwe 4fantastic save from kaseja
mbona hasira mkuu ni huu ni mpira tuhaikuhusu!
na bado mtaenda kulala!naona yanga wameng'ang'ania langoni mwa simba.

ni mzuka tu kama vipi mpotezeeni...