Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

naona yanga wameng'ang'ania langoni mwa simba.
haya mabadiliko yatatusaidia pale katikati kiiza alionekana kutusumbua hapo katikati..kiemba, kago wameingia na boban na machaku wametoka..
 
Haya kago ndani ya dimba kuchukua nafasi ya boban. Simba walikuwa wanamlilia sana,ngoja tuone kiwango chake.
 
Mbona hamna tena magoli??
Tegete yupo?
 
...Kelele mingi bana, wapi Yebo Yebo sasa ? Tuliwaeleza fitna zetu hazisaidii mlizoea sana akina naniii kuwapa magoli sasa leo yupo benchi na haingii ng'o labda mpaka ikiwa 5-0 ! Magalasa yenu yanaonekana na naona sasa mmemuingiza mtoro ... Fabrigasi kama Sharapova, hii kabumbu bana mnyama leo lazima aanzishe bakora pale kwenye dimbwi la maji machafu..... ohh pale ambapo rz1 atapewa tenda ya kujenga bustani za kupumzika, public pool na mabembea ili malofa kama Poulsen waweze kupata nafasi ya kuogelea na kujifunza gozi la ng'ombe...
 
Leo umeme haukatiki, na simba leo ndio wanakabidhiwa kombe la ubingwa wa kombe la Kagame.
 
Jina zuri la mtu kama huyu ni ZUZU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…