Joined
Mar 30, 2020
Posts
70
Reaction score
106
Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo

NGAO
ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui.

COMBAT
combat ni neno la kingereza ambalo maana yake kwa kiswahili ni mapigano au mapigano ya kujihami dhidi ya mashambulizi ya adui .

HITIMISHO
ngao combat - maana yake ni mapigano na ulinzi au ulinzi na mapigano.
 

Attachments

  • SGN_10_24_2026_1792857669175.png
    890.3 KB · Views: 2

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…