Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 70
- 106
Mwaka 2019 katika mkoa wa dar es salaam tanzania, kulikua na matukio mengi sana ya panya rodi kuvamia watu mitaani na majumbani, kupiga watu mapanga ya kichwani, mikononi na kupora mali zao kama vile simu, pesa, na vito vya thamani na wengine hadi viatu na nguo walikuwa wanavuliwa.
watu wengine walipigwa mapanga hadi wakapoteza maisha yao, lakini mlinzi shujaa yeye aliamini kuwa watu hawa walidhurima na wengine kupoteza maisha kwa sababu walikuwa hawana ujuzi wakujilinda wenyewe dhidi ya panya rodi, kwa sababu watu hao walikuwa ni waoga, wanyonge sana na hata ujuzi wa kujihami walikuwa hawana.
Jeshi la polisi la tanzania liliwasaka kila kona wahalifu hao hadi wakawapata wakafikishwa katika vyombo vya sheria/ mahakamani na hatimae wengine wakafungwa miaka jela, lakini matendo haya ya watu kuporwa mali zao na kupigwa mapanga mlinzi shujaa yalimuumiza sana, alipata uchungu sana na hapo ndipo alipo pata wazo la kuanzisha mfumo wa kujihami wa ngao combat au ngao self defense system, kwa sababu yeye anaamini kuwa kama watu wakijifunza mbinu za kujihami na wakazifahamu vizuri , wahalifu watakosa kazi ya kufanya , hawato weza kumuibia mtu yoyote kwasabu watu ote watakuwa kama jeshi la raia wema.
Mlinzi shujaa akaanza kuufundisha rasmi mfumo huo hatari wa kujihami mwaka ( 2019 )
Mahali alipoanzia kufundishia watu ni chanika katika uwanja wa soko la mnadani, karibu kabisa na kituo kikubwa cha polisi cha chanika na shule za msingi ya mogo na kimwani.
WANAFUNZI WA KWANZA LABISA NI
twalbu gela, juma kuku, shabani ramadhani, aisha florian mtenga, elias mwita, miraji mkuwa, saidi libeli, shafi dauda, santa, ramadhani jibe, heri shomvi, dainesi/ mama tekla, mariamu, ibrahimu na wengine wengi.
ambao badae walijiunga katika jeshi la polisi la tanzani, wengine wakajiunga katika kampuni ya suma jkt.
Pia, watoto wa mlinzi shujaa ambao ni rahma issa, abdurahmani issa, nasra issa na rahimu issa nawao pia, baba yao mlinzi shujaa aliwafundisha.