SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kafuata libeneke la yule dogo aliyekuwa Detroit mayor, Kwame Kilpatrick, kama sikoseiHii nchi naipenda, na moja ya sababu inayonifanya niipende ni kwamba, hakuna mtu aliye juu ya sheria. Haka ka Ray Nagin baada ya kujipatia umaarufu through Katrina kakaanza kula milungula. Wacha wakafunge tu!.