Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Ray Lewis anaweza kuretire Kwangju heshima kubwa sana
Brady Kawa Kama Sanchez wa Jets leo
Hii imekula kwao leo!
Superbowl Ravens vs 49ers
Kocha wa 49ers Na kocha wa ravens ni mtu na kakaake
Mie utabiri wangu ni BMore anachukua ubingwa