NFL Super Bowl, Special Thread

NFL Super Bowl, Special Thread

This is one of the worst Super Bowls ever!

Kheri hata Atlanta Falcons au Seattle Seahawaks wangeenda kwenye super bowl labda tungekuwa na contest lakini hawa Niners naona wanacheza ki-gay gay:becky:.

Si unajua San Francisco ndo kama gay capital of the world....
 
Hahahaaaa....Chocolate city hiyo.

By the way Ray Nagin has been indicted.
Hii nchi naipenda, na moja ya sababu inayonifanya niipende ni kwamba, hakuna mtu aliye juu ya sheria. Haka ka Ray Nagin baada ya kujipatia umaarufu through Katrina kakaanza kula milungula. Wacha wakafunge tu!.
 
Back
Top Bottom