Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,436
- 25,577
Ninavyo faham mkuu huo moto huwa hauzimiki!Nitafurahi zaidi huo moto uwe wa ile rangi ya kijani kijani.

Acheni sheria ichukue mkondo wake. Acheni kuchanganya sheria na siasa.
Polisi wana kosa gani kuwakamata wahalifu. Wanaoandamana hovyo bila sababu ya msingi. Polisi wana wajibu wa kulinda usalama wa raia. Lazma iwashughulikie wote wanaojaribu kuhatarisha usalama wa watu wengine na nchi kwa ujumla.
Polisi hawajawavamia ktk vyumba vyao na kuwakamata. Walikuwa wanafanya uhalifu.
Nyie tulieni msome, acheni kutumiwa na wanasiasa uchwara.

Nyie bana!!
kuimba hakusaidii...mkigoma na kesho tena chuo kitafungwa, then hao jamaa zenu watatokaje sasa huko maabusu??
Hebu ingieni ofisini kwa huyo mkuu wenu wa chuo mumchomoe akawawekee wanafunzi dhamana bana!!
akikataa mtieni mboko.
Solidrity ya kuimba haisaidii..........take action, na msiwe waoga kama tetere. Wakija FFU kimbilieni in one direction, then wafanyieni mbaya hao mafala!!
Andaeni mabomu ya machozi na nyie muwarushie kwanza nilipita juzi nikakuta kokoto nyingi sana hapo mdigrii okoteni hizo ni silaha tosha, wapuuzi kweli hawa kama hao wenzao huko bungeni
Acheni sheria ichukue mkondo wake. Acheni kuchanganya sheria na siasa.
Polisi wana kosa gani kuwakamata wahalifu. Wanaoandamana hovyo bila sababu ya msingi. Polisi wana wajibu wa kulinda usalama wa raia. Lazma iwashughulikie wote wanaojaribu kuhatarisha usalama wa watu wengine na nchi kwa ujumla.
Polisi hawajawavamia ktk vyumba vyao na kuwakamata. Walikuwa wanafanya uhalifu.
Nyie tulieni msome, acheni kutumiwa na wanasiasa uchwara.[/QU
HIVI HUWA UNALIPWA NINI?AU UNAPEWA MANENO YA KUANDIKA HATA KAMA HAUPENDI?HAPO MWALIFU NI NANI?KUANDAMANA NAKO NI KOSA?AMA KWELI UMEFIKA MUDA NA WAKATI HATA WA KUTUMIA NGUVU KUDAI HAKI MAANA MAANDAMANO MNAONA NI UHALIFU!WEWE NA WANAOKUTUMA MTAJIBEBA WAKATI HUO.
Mimi nafikiri kinachosababisha migoma ni ukandamizaji unaotokana na sheria zinazo walinda Wakubwa!!!Toka enzi za mwalimu, migomo mingi ya wanafunzi imekuwa ikidhibitiwa kirahisi mno hasa ile inayokosa strategy. Tunajua kitakachofuta ni wanafunzi kutimuliwa chuoni kwa muda na wale waanzislishi watakusanywa kama kuku na kuingizwa katika mtego wa kutishiwa kufukuzwa chuo baada ya kutakiwa kila mmoja kujieleza na kula kiapo cha Utii wa Serikali ya Chuo na ya Magamba (Wataandika tu barua za kuomba kurejea chuo na kuambatisha na Affidavit za Utii wa kutorudia tena mgomo).
Hili la wanafunzi kufikishwa Mahakamani sasa linafanyika si mara ya kwanza. Hao akina Bashiru Ally, Deus Kibamba, Kitila Mkumbao nk wanaliwahi kuwa waanga wa kadhia kama hizo za kugoma goma na kufikishwa Kisutu baada ya chuo kufungwa..shida ni staili inayotumika kudai haki huko vyuoni..wanafunzi wanaweza kudhibitiwa kirahisi tu wakigoma au kufanya maandamano..hawana mwelekeo mwingine wa kukimbia zaidi ya mwabwenini, wao wanapogoma huwa wanakuwa katika njia panda ya kuchagua kusoma au kucha masomo tofauti na raia wa kawaida ambao hawana chochote wanachopteza. Mmejionea ya Mbeya wamachinga walioamua kupambana, Serikali ilikosa mbadala wa kujadiliana nao kuhusu hoja zao kwani Serikali haikuwa na mbadala