"Tusiwadanganye wananchi, kuwa tukiwaondoa wala rushwa, matatizo ya Watanzania yataisha.
"Tunaanza kuwa na utamaduni wa kutafuta dosari hasa za viongozi na kusahau mambo ya msingi ya kulisaidia taifa. Ombi langu, hii tabia ya kupakana matope haiisaidii nchi, waandishi hizi habari ndizo zinapaswa kupewa kipaumbele?"[/SIZE]
Kama alivyosema Mwanakijiji, hakukuwa na sababu ya Rais kupangua wizara tena wakati alifanya hivi miezi miwili iliyopita! Angemteua waziri wa miundombinu hata kutoka nje ya hawa mawazi tulionao! Hii habari ya kuwahamisha watu ndio nini! Ndio kuwaongezea CV, kuwa waliongoza wizara nyingi!!! Sikubaliani na hoja kwamba waziri hana role kubwa kwenye wizara isipokuwa katibu mkuu!! Kwa nchi changa kama TZ´, waziri is everything kwa sababu ndiye mpika majungu kwa Rais!!! Simply JK amechanganyikiwa na kwa mtindo huu tusitarajie jipya, labda more disappointments! Tukae mkao wa msiba mpaka 2010! Na hapo tena tukijichanganya ndio hivyo tutakuwa na sisi ni mafisadi haohao!
rais ana washauri bw mdogo na wanajua anachokifanya.
sasa ww subiri uone tunavyojipanga
Mbona issue ya E-governace iko ofisi ya rais utumishi na ipo jikoni tembelea pale kuna mtandao wa serikali upo jikoni(Gov intranet/WAN)Mkuu,
ikiwemo e-governance.ambayo inaweza kuondoa matatizo chungu nzima ikiwa ni pamoja na corruptions na safari zisizo na maana kwenye mikutano isiyoisha.
Watamuharibu kama walivyomuharibu Balali hakuna ubishi katika fani yule jamaa ni balaaasay a certain engineer professor aliyeko hapa majuu akatikise kidogo wizara hiyo?
Nyinyi nani ???rais ana washauri bw mdogo na wanajua anachokifanya.
sasa ww subiri uone tunavyojipanga
Ari mpya ...Nguvu mpya..Kasi mpya....!
Arudishwe SUA akaendelee kuiba,Kwanza huyu Mzee ni Mwizi sana,alipokuwa wazizara ya Elimu ya juu alijaza ndugu zake pale Bodi ya mikopo1.Aliweka Mkurugenzi wa Mawasiliano,sera na utafiti kutoka SUA,huyu kijana ni mtoto wa Rafiki yake na Msolla,na anafundisha SUA2.Msolla aliendelea kwa kumuweka Msaidizi wa huyo Mkurugenzi kijana kutoka SUA tena,Bila utaratibu kufuatwa sababu hata kazi hazikutangazwa magazetini3.Mhe. Msolla Pia amemuweka Mkwe wake pale Bodi ya Mikopo,sasa unataka arudishwe SUA akaibe Zaidi??hawa ndio watu ambao wanatakiwa kutoka,ninatamani nikutane na JK tena nitamuuliza kwanini amemrudisha Msolla Tena??Huyu Msolla si ndiye1.Aliyewakana wana wa watanzania ambao walikuwa Ukraine?2.Msolla huyu si ndiye aliyeiba pesa za SUA3.Msolla huyu ndiye bingwa wa kulea Migomo??Ukitaka Kumjua Mtu basi angalia Rafiki zake,alyemteua naye ni mtu wa hivyoMsolla tena, huyu jamaa hawezi kabisaaaa, arudi tu SUA tu akafanye research. Kuwa prof sio kuweza kila kitu anajishusha tu hapo, anashindwa kumuomba muungwana amrelease kama walivyofanya kina mungai? duh kaazi kweli kweli. Tanzania hivi hakuna watu wengine wenye uwezo zaidi ya hawa?
Zitto,Kitu kimoja kizuri katika mabadiliko kadhaa anayofanya JK ni kupandisha manaibu kuwa Mawaziri. Hili ni zuri. Naunga mkono uteuzi wa Kombani TAMISEMI. Hivi hakuteua naibu Waziri TAMISEMI? Maana sijaona hapa au mmesahau?
Mwanri pia ni mzalendo sana, ni chaguo zuri ingawa angefaa kuwa Waziri Kamili. Jamaa ni marxist huyu, acha!
Nilidhania nawe ni Muikulu Mkuu!!!Well mimi kibaya nachokiona ni kumrudisha Msolla pale Elimu ya Juu,wakati alishashindwa!!! mengine naona safi tu isipokuwa sina uhakika na Mwanry Simfahamu huyu!!!Tanzactive!
Na sisi ni washauri! Kama hao nao ni watanzania, basi lao na letu ni moja - kumshauri rais kwa nia njema! Sio kwa sababu ya vested interests! Lakini pili hao washauri wa rais nadhani nao wanahitaji washauri! Kumbuka hata Hitler nk walikuwa na washauri BWANA! Inashangaza kuona mtu unakuwa na uchungu sana na comments huru zinazotolewa! Kwa nini uwe na hasira, toa maoni yako! Kama umeupenda uteuzi sema, na sababu zake toa! La sivyo unaweza kufikiriwa nawa kuwa na masilahi ya moja kwa moja na haya madudu katika uteuzi!
Mbona issue ya E-governace iko ofisi ya rais utumishi na ipo jikoni tembelea pale kuna mtandao wa serikali upo jikoni(Gov intranet/WAN)
Hivi huko ikulu hakuna kazi ingine ya kufanya zaidi ya kuwapanga na kuwapangua mawiziri kila kukicha? Wataanza lini hasa kutekeleza ahadi zao walizotoa 2005?