Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
Usiwe na taabu wa shaka. Mwanga huo unatoka katika kituo cha kimataifa cha angani. Kiko umbali wa takribani km 400 toka uso wa dunia.
Mwanga na nuru hiyo huonekana kuzunguka zunguka, kufifia na kuomgezeka. Ni tukio la kawaida, mara nyingi tu hutokea.