Eti Mikocheniiiii MfyuuuuuuuNiliahidi kuleta picha, mtandao unasumbua, tuanze na hii:
View attachment 226277
Hicho kama ki dot juu ya mnazi. Nimetumia simu experia kupiga hii picha kutokea maeneo ya mikocheni. Tarehe 10-02-2015 between 8-9 pm.
Which direction s will it be when in Dar?
Venus huwa yaonekana kirahisi mno na pengine ndio sayari ambayo karibu watu wote wameshapata kuiona...
Mars nimeshawahi kuiona, kuna wakati Dunia na Mars zilikuwa karibu kiasi cha kuiona bila kionambali kama sikosei ilikuwa 2008...
UFO=Unidentified Flying Object, hivyo basi flying object yoyote ambayo haijatambulika ni kitu gani ni UFO, ikishatambulika inapewa jina: kandili ya wachawi, drone, kimulimuli nkHakuna kitu kama UFO,hizo ni science fictions tu,na mama yangu FaizaFoxy naye amedakwa kwenye mtego huo wa nzi?
Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
Kati ya Venus au mars huku znz inaonekana kawaida tu. Tena unaiona kubwa kubwa
Venus huwa yaonekana nyakati za magharibi wakati wa jua kuzama na nyota hazijaanza kujitokeza angani au nyakati za alfajiri wakati wa kuchomoza kwa jua na nyota zikiwa zimefifia...
Universe ina galaxies kibao, stars kibao isijekuwa ndio unachoona. Halafu wewe umeona ni UFO unatakaujuzwe nini tena?
That UFO or rather planet is today visible again.
Picha Iko wapiDunia ina mengi
Onesha PichaTazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.