News Alert: UFO in Dar

News Alert: UFO in Dar

Weka hiyo picha ulopiga tuone nasi...
 
Huwa nashindwa kuelewa hivyo vitu huwa ni 'Unidentified' in which sense?
 
Hakuna kitu km hicho.tunadanganyana.ufo ni hadithi yakusadikika
 
Mkoa gani sas maana kwa wengine kusini magharibi inakua ni kusini kamili
 
Jamani mie mwenyewe nimeangalia mpk ikabd nitumie na miwani ila wapi cjaona kitu.
 
Faiza utasababisha watu wasilale, hebu tuokoe, tupo wengi wenye shauku.
 
Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.

Eti ndo Mizengo Pinda awe Rais?huyu fisadi aliyeficha mali zake kwa Sumry,thubutu!
 
ImageUploadedByJamiiForums1423595893.472508.jpg
 
Huwa nashindwa kuelewa hivyo vitu huwa ni 'Unidentified' in which sense?

In a sense that;

1.Speed ya hivi vitu hakuna teknolojia yake kwa Sasa.
2.Hii kitu ukipishana nayo UFO (Flying Saucer ) una freezer kwa muda mpaka ipite.Na kama ni mtambo unazima kabisa.

 
Back
Top Bottom