News Alert: "Serikali kutonunua mitambo ya Dowans" - Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News Alert: "Serikali kutonunua mitambo ya Dowans" - Ngeleja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuhani, Dec 17, 2008.

 1. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yeah...yeah...yeah! Stop it! Si ajabu umepotosha makusudi!

  Ingekuwa source yako ndio imekosea lisingekuwa tatizo, kibaya ni kwamba ume-misrepresent kile kiilichosemwa na source yako.

  Source yako - ambayo mwanzoni uliificha - iliandika "Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngereja, leo alielezea azma ya Serikali kununua mtambo..."

  Wewe ukaleta habari kwamba Waziri kaeleza uamuzi, huku ukijua wazi tofauti ya azma na uamuzi. Wewe unajua Kiswahili as good as anybody around. Kwa hiyo si ajabu ulipotosha kwa makusudi.

  Ndio maana hata Gazeti lako la Fikra za Cheche huwa nalisoma with a huge grain of salt. Sikuaminiamini. Ulishasema "I am on a mission." Hata kama nikiwa nachukia ufisadi vipi na wewe nia yako ni kupigana dhidi ya, na ku-bring down corrupt regimes, nikishajua unaweza ku-compromise ukweli for the sake of "the mission" basi nitajua kuna siku utanidanganya tu. Sintokuamini.

  And speaking of Cheche, original post yako umeiandika kama vile huna uhusiano na hicho "kijarida kimoja kinachotoka kila Jumanne kwenye mtandao." Ilibidi u-reveal kwamba wewe unaeleta habari kwamba serikali imeamua manunuzi despite "taarifa za kuufunua mchezo" zilizoandikwa na "kijarida" ndio wewe mwenyewe uandikae hicho kijarida. Unafahamu kwamba ilibidi useme.

  Mwanakijiji you know those high standards better than most Tanzanian editors, usiwe crummy kwa sababu tu unaandikia audience isiyojalijali hizo standards. Jaribu kujiwekea viwango no matter who the audience or "your mission."!
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  Naomba radhi kwa habari ambayo haikuwa sahihi kwa upande wangu. Ni mimi niliyekosea. Na kuhusu Cheche uko sahihi nimeandika hivyo kwa makusudi bila kutaka kuonekana napigia debe "cheche". Kama hilo limekukwaza naomba radhi kwa hilo pia.

  M.M.
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kama haya umeyaandika kwa dhati kabisa, hongera sana kwa mafanikio haya na mengi yajayo; heri ya mwaka mpya 2009.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Oh gotdamnit! Leave Mwanakijiji alone....
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mmh.. you are questioning my sincerity. Heri ya kwako pia!
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kuhani you are entitled to you opinion about the work that Mwanakijiji is doing to this society. I get the impression that his articles rub you the wrong side; too bad, pole sana. To some of us CHECHE is an authoritative online newspaper that makes our days; it is unfortunate that you have to take pinches of salt when you read it!! You have an axe to grind with the "VILLAGER" but for sure you are on the losing side inspite of your spinning ways.
   
 7. M

  Mama JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Una rangi zote, hivyo nilihitaji reassurance kama kweli ulimaanisha kutaka radhi kwa habari ya kizushi.

  Kumbe Global Publishers ndio ka-nzi hahahahahaaaaaaa.
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Dec 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  JF Holiday Inn wanachaji $10 kwa saa. Get a room....
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  unaniaccuse kuzua jambo; chanzo changu cha awali hakikuwa hicho cha GP ndio maana sikuweka mwanzoni (ni sms - napata hivyo mara nyingi zaidi) Nilipoona kwenye GP nikaoanisha na habari niliyoipokea so nikaona ni credible. Kosa lilikuwa ni tafsiri niliyiotumiwa kulinganisha na kile kilichosemwa.

  Ni baadaye (akizungumza na BBC) ndiyo tumepata taarifa zaidi kuwa wakati anazungumza na waandishi alizungumzia kuwa azma hiyo ilikuwepo lakini serikali imeamua kutoendelea nayo (nadhani hapo ndipo mtu aliyekuwepo alituma sms kabla ya mida)... kusahihisha habari isiyo sahihi au ambayo imepokelewa vibaya siyo jambo la ajabu kwenye vyombo vya habari.

  Kufikiri kuwa chombo cha habari hakitakosea wakati wowote au kusema jambo ambalo likaja kugeuka kuwa halikuwa sahihi ni kuvipa imani ya kiungu. Tutakosea na tutaboronga, lakini ni jukumu letu kujaribu kuandika habari zenye uhakika wote kwa kadiri tunavyoweza.

  Na pale tunapokosea (aidha kwa kugundua makosa yetu au kuoneshwa na wengine) ni jukumu letu pia kusahihisha. Tatizo ni kuwa wale wanaotaka kutusahihisha wanatutuhumu kwanza kwamba tumefanya mambo kwa makusudi n.k

  Utaona waliosahihisha awali hapa hawakutoa tuhuma walifanya kile ambacho walijua ni wajibu wao na mimi kwa upande wangu nikafanya masahihisho mara moja. Wale ambao kwao kile kitu ni moto au baridi, mwanga au giza ni jukumu lao kuwa wanavyopenda. Siwezi kuwalaumu kwani kila shetani na mbuyu wake!

  NN: did you say 10 dollars?
   
 10. M

  Mama JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0


  I was right..... right to question your sincerity.....still same color. May be in 2009 an apology might be sincere.
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2008
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Halafu ataanza kusema kwanini Uwanja wa Mza haujengwi kama wa kilimanjaro, wakati ujinga wao unaanzia kwenye vitu hivi hivi vidogo vidogo, ambao kwa sasa wanaona haviwa husu.
   
 12. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Aya yaya yaya yaya...Mungu wangu!! Mzee Mwanakijiji, why stoop that low Mwanakijiji ?

  Mtumeeee!

  Yani kweli Mzee Mwanakijiji una taadhima ya kusomwa fikra zako na malaki na malaki ya Watanzania kwenye vyombo vya habari na kupewa sikio na contacts za marais na mawaziri na wakurugenzi halafu unadiriki kuunga tela la matusi ya kuambiana kutafuta chumba ?

  Kwa sababu mwanamke kaunga mkono hoja ya mtu ?

  Aya yaya yayayayaaaaa.....Msalie mtume! I don't believe you said that kaka.

  But you know what Mwanakijiji, nili-notice from day one hapa kwamba una ka true color fulani ndani yako kachafu chafu fulani hivi. Kwamba unaweza ku-stoop any low ukibanwa kiaina. Ila sikujua unaweza kusahau hata kujificha!

  Nimechoka akili!

  Yani kabisa hapa jamvini wanawake sio kwao kabisa ? Duuh! Umenisikitisha mno Mwanakijiji.
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  find a rope and hang urself!
   
 14. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mpisheni shetwani apite turudi kwenye hoja ya msingi na hizi bifu zenu leave out please .Nyuzi ndizo muhimu kwetu na kila mtu anaweza kukosea what is a big deal here ?
   
 15. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  You were.

  Tena ngoja niseme utanisale manake unajua mwanzoni nilitaka kukwambia we Mama vipi wewe, mtu kesha omba radhi we bado unataka ku rub it in? I mean that was the most class, direct, apology you can ever expect from anybody. Haikuwa na "lakini sikumaanisha... kama nimekosea... sikujua... hamkunielewa," none of that spinning. I was taken aback too by his directness. Lakini kumbe wewe unamuelewa huyu kaka, he is the grand daddy of sarcasm, kitu ambacho nakijua lakini nilikuwa karibu sana kumwawini na ile apology, kumbe duuh, he did not mean that. Duuh, Mama, your mind is as sharp as a steel trap. Wengi tungeingia mkenge pale.

  Ila naomba usirudi nyuma na haya matusi yaliyo supportiwa na Mwanakijiji. Usirudi nyuma, jikaze hivyo hivyo Mama, society yetu bado haijafika huko unakotaka, jikaze, tunakuja though. Usiwe fazed, I know you won't. You have no idea how badly our country needs folks like you. Hang tough please.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Dec 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  You rock dude!!
   
 17. M

  Mama JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Nimekusikia mtoto wangu. I love SteveD not more than I love you.
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Dec 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaa....this is why I got tons of respect for ya! Even I couldn't have come up with a comeback like that...dang...you bad...
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Dec 17, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  well, whatever rocks your boat.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hivi hii Anti-Ngabu Coalition (ANC) ina wanachama wangapi? Maana naona uko ktk kampeni kabambe ya ku recruit....khekheeeeee.....wouldn't you love know who Ngabu aka Teflon Don is, won't you? Tell the truth.....
   
Loading...