Jiji la Moskova (Moscow), ndio jiji kubwa nchini Urusi

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
348
847
MOSCOW; JIJI KATIKATI YA JANGWA LA BARAFU, JIJI LENYE BARIDI ZAIDI DUNIANI.

Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA).
Friday-18/02/2022
Moshi DC , Kilimanjaro Tanzania

Jiji la Moskova (Moscow), ndio jiji kubwa nchini Urusi (Russia), Jina halisi ya jiji hilo ni "Moskva" ambalo kwa lugha ya ki-Russia utamkwa mɒskoʊ au Москва, ni mji mkuu wa Urusi.

Jiji la Moscow limepata jina hilo kutokana na Mto mkubwa unaokatiza katikati ya jiji hilo unaoitwa Mto Moskva.

Jiji la Moscow ndio jiji kubwa Ulaya ya kati, idadi ya watu ya jiji hilo inakadiriwa kuwa milioni 12.4, Jiji hilo lina ukubwa wa kilomita za mraba 2,511 (970 sq mi), ilhali eneo lote la mamlaka ya jiji linachukua kilomita za mraba 5,891 (2,275 sq mi).

Hivyo basi.......

Eneo lote la jiji kuu linachukua zaidi ya kilomita za mraba 26,000 (10,000 sq mi), yani ukijumlisha eneo la jiji, mamlaka ya jiji na eneo linalozunguka jiji.

Moscow ni miongoni mwa miji mikubwa zaidi duniani, likiwa ndio jiji lenye wakazi wengi zaidi barani Ulaya, pia ndio jiji lenye eneo kubwa ya mji mkuu barani Ulaya, hii inamaana kwamba Moscow ndio jiji kubwa zaidi kwa eneo la nchi kavu katika bara la Ulaya.

Ukiwa katika jiji la Moscow utashuhudia umaridadi wa maeneo maarufu ya Red Square, Ostankinov Tower, Kanisa kuu la Kristo Mwokozi (Central Moscow cathedral), Ukumbi wa michezo wa Bolshoiv, jengo kuu la MSU, Ikulu ya Kremlin, Chuo kikuu cha Moscow state university, magorofa marefu ya central Moscow, jumba kuu la makumbusho na kaburi la mwasisi wa USSR Vladimir Erich Lenin pamoja na Mto Moskva wenyewe.

Kwaiyo basi.....

Jiji la Moscow lilianza kujengwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1147, liliteuliwa kuwa mji mkuu wa utawala wa Ramanov (Grand Duchy), na imeendelea kuwa mji mkuu wa Urusi mpaka sasa.

Japo kipindi kifupi cha utawala wa kaizar (Tsardom) nasaba ya Nicholas mji mkuu ulihamishiwa kutoka Moscow hadi jiji la Saint Petersburg lakini baadae ulirudishwa tena Moscow baada ya Mapinduzi ya Oktoba yaliyoongozwa na chama cha Bolshevik.

Moscow ilisalia kuwa jiji kuu na kitovu cha kisiasa cha ile iliyokuwa Muungano wa Kisovieti, hata baada ya kuvunjika kwa Muungano wa Kisovieti, Moscow imesalia kuwa jiji kuu la Shirikisho la Urusi (Russia federation) mpaka sasa.

Moscow ndio mji mkuu mkubwa wa kaskazini mwa dunia, pia ndio mji mkubwa sana duniani wenye baridi zaidi duniani.

Pia ni miongoni mwa majiji makuu 25 ulimwenguni wenye historia ya karne Kumi na ukiendelea kuwepo mpaka sasa.

Moscow ndio jiji kuu ambalo linatumika kama kitovu cha kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kisayansi kwa Ulaya Mashariki, pia ndio jiji la kwanza linalokuwa kwa kasi ulaya.

Moscow ni mojawapo ya jiji lenye uchumi mkubwa zaidi ulimwenguni, likishika namba 19, pia ni mojawapo ya maeneo yenye mvuto wa utalii yanayokuwa kwa kasi zaidi duniani.

Pia Moscow ni moja ya majiji yanayotembelewa zaidi barani Ulaya.

Kubwa kuliko ni kwamba jiji la Moscow ni jiji la NNE kwa idadi kubwa ya mabilionea duniani, huku likiwa ndio jiji lenye idadi kubwa zaidi ya mabilionea kuliko jiji lolote lile barani Ulaya, Kituo cha Biashara cha Kimataifa cha Moscow ni mojawapo ya vituo vikubwa zaidi vya kifedha duniani.

Jiji hilo lina Maeneo kadhaa ya Urithi wa Dunia wa UNESCO, na linajulikana sana kwa maonyesho yake ya usanifu wa Kirusi, hasa maeneo kama Red Square, Kanisa Kuu la Saint Basil na Ikulu ya Kremlin.

Jiji la Moscow lina mtandao mpana wa usafiri, unaojumuisha viwanja vinne vya ndege vya kimataifa, vituo kumi vya reli, mfumo wa reli hasa Metro ya Moscow (reli ya mwendokasi), mfumo wa metro huu ndio wenye shughuli nyingi zaidi barani Ulaya, na mojawapo ya mifumo mikubwa zaidi ya usafiri wa haraka ulimwenguni.

Hivyo Sasa.....

Kutokana na sifa hizo warusi uuthamini sana mji wao, awako tayari kuona mji wao ukiharibiwa hata siku moja, utumia gharama kubwa sana kuulinda.

Historia uonesha kuwa Moscow ndio jiji lilolindwa sana katika nyakati zote za vita ulaya, warusi hutumia kipindi cha baridi Kali kama siraha ya kujirinda wanapovamiwa, walifanya hivyo walipovamiwa na Wamongoli karne ya 10, pia wakafanya hivyo kwenye vita ya Bonaparte dhidi Urusi ya mwaka 1820 pale waliporuhusu jiji lao lichomwe moto na kuwaruhusu wafaransa kuingia huku wao wakisubiria msimu wa baridi ambapo walianzisha kichapo ambacho wafaransa hawatasahau mpaka Sasa.

Pia warusi walirilimda jiji lao kwenye vita zote za karne 15,17 na ile vita ya Urusi na Ottoman empire.

Iko hivi.....

Mwaka 1812 Urusi walimtwanga kwa kipigo cha mbwa koko Mfaransa alipo taka kuvamia Moscow.

Pia tarehe 22 Juni 1941 hadi tarehe 8 Mei 1945 Urusi waliudhihirishia ulimwengu kwamba Urusi is invincible when it comes to military confrontation, especially Moscow issues, walitembezea kipigo kwa majeshi ya Hitler kutoka kilometa 14 nje ya Moskva mpaka katikati ya jiji la Berlin na kihitimisha zoezi la kuilinda ardhi ya jiji la Moscow.

Pia mapigano yaliyotia fora ni yale ya kuilinda Moskva, huku wakiyakomboa majiji ya Stalingrad na Leningrad kipindi cha vita ya pili ya dunia, Warusi uipenda sana nchi yao, lakini kubwa zaidi uipenda sana jiji lao la Moskva.

Sasa kwa faida yako ngoja nikupe orodha ya majiji Kumi duniani yenye mabilionea wengi, ambayo hufahamika kama majiji yenye idadi kubwa ya mabilionea ulimwenguni.

Katika orodha hiyo nchi ya China ndio inaongoza kwa kutoa majiji 5, ikifatiwa na Marekani yenye majiji 2 alafu Urusi, Uingereza na mwisho India.

Majiji hayo ni ......

1-Beijing - China, mabilionea 100
2-New York - US, mabilionea 99
3-Hong Kong - China, mabilionea 80
4-Moscow - Urusi, mabilionea 79
5-Shenzhen - China, mabilionea 68
6-Shanghai - China, mabilionea 64
7-London - UK, mabilionea 63
8-Mumbai - India, mabilionea 48
9-San Fransisco - US, mabilionea 48
10-Hangzhou - China, mabilionea 47

Hii ndio Moscow bwana, jiji Katika ya jangwa la barafu.

Kwa kupata makala Zaidi wasiliana na Mimi WhatsApp 0679555526 uungwe group la Maktaba Kuu kwa gharama ya Tsh 3000/=.

Ukinakili kazi zangu kumbuka kufanya acknowledgment.
Wako Mjoli wa Historia na diplomasia ya ulimwengu.

Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu
Copyrights of this article reserved
written by Comred Mbwana Allyamtu
•Napatika Kwa mawasliano
Comred Mbwana Allyamtu

Kwa Tanzania
+255679555526 (WhatsApp).
+255765026057.
Email- mbwanaallyamtu990@gmail.com

Copyright 2022, All Rights Reserved.

Maktaba Kuu.View attachment 2131012
FB_IMG_1645804247097.jpg
View attachment 2131015View attachment 2131014View attachment 2131013
 
Sio kweli kwa SASA. Wengi wamejilimbikizia tuuuuu Mali
... ndio maana tunasemaga makomunisti wana gilba sana; huko China kwenyewe jina rasmi la chama tawala ni Communist Party of China - CCP huku nchi ikiongoza kwa wachache kujilimbikizia mali.
 
Maktaba Kuu.View attachment 2131012View attachment 2131016View attachment 2131015View attachment 2131014View attachment 2131013
Hyo elf 3 ya kujiunga group inakuwa kila mwezi unalipa au inakuwaje mbona hijatoa ufafanuzi
 
Hapa wale wa US wa huko DIUKIZULA kimewauma sana kuona miji yenye mabilionea wengi ipo huko Uchina na siyo kwa mabeberu hakika hili ni jambo jema kuona new economic emerging world.
 
Back
Top Bottom