New York Kuzuri Jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New York Kuzuri Jamani!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Tiger, Aug 4, 2010.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Jitahidi siku moja uende ukajionee big-apple kulivyo; ili mradi uwe na ngawira kwani huko kama huna hizo [ hakuna cha mjomba huko] maisha yanaweza kuwa magumu mara mia kuliko ungekuwa BONGO!! Isidanganyike na picha ndugu yangu.
   
 3. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
 4. T

  Tiger JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa nini kaka, unataka kuniambia Dar na Big Apple(kama alivyopaita Blules hapo juu ni sawa?)
  Lazima utakawa unatania.:horn:
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Huko ndo kuna mabepari ya kutosha. Yameenea kila sehemu utakuta made in korea by american company kibao, yanaiba kila sehemu ili yaishi vizuri.
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Unataka ukafanye nini huko? Kutalii? Kusoma? Kufanya kazi? Au kikazi? Akon alisema kwenye moja ya ma-concert yake kuwa ili upate heshima na umaarufu kwenye hayo majengo ni kufanya kazi kwa bidii na moyo mmoja na kuwa na FWEDHA za kumwaga!!!

  Ila angalia usijerudi na tabia ya kubwia miunga!!!!! Pia hiyo video inaonesha power of marketing innovation ya wenzetu! Hivi na sisi kwa nini tusitupie picha za vivutio vyetu kwenye hiyo mi-web 2.0 applications kama youtube na facebook?
   
 7. T

  Tiger JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kutalii tu mkuu then narudi home.
  Si unajua zile mambo za kuona kama hujafika Dar basi we sio mjanja?
  Sasa na mimi nona kama hujafika NYK basi najiona kuna kitu naki-miss.
  I rea love to be there one day. Just being there even for a minute.
  I love Big Apple.:fencing:
   
 8. g

  gutierez JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
 9. g

  gutierez JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kutembea sio mbaya,haijalishi pazuri wala pabaya ni sehemu ya kujifunza maisha na wenzetu wamewezaje na wanaishiji na serikali yao inawachukulia vp wananchi wake,ila ni vizuri sana kutembea sehemu ambazo unakuta ktk nchi zetu ni adimu kuviona eg barabara juu na chini
   
 10. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watu wanatamani kwenda New York kuliko mbinguni. Mbinguni ni kuzuri zaidi
   
 11. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Watu wanatamani kwenda New York kuliko mbinguni. Mbinguni ni kuzuri zaidi
   
 12. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,906
  Likes Received: 21,009
  Trophy Points: 280
  mkuu....raha jipe mwenyewe....kachukue visa nenda hata for a week...........
   
 13. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
 14. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lahasha Tiger, hakuna utani hapo......na wala simaanishi kwamba Dar na Big Apple zipo sawa. nilichomaanisha ni kwamba Cameraman alikuwa anachukuwa zile sehemu zenye mvuto kwa ajili ya kuvutia watalii na Investors. Angeonyesha baadhi ya sehemu za South Bronx, Manhattan (Harlem) na Brooklyn labda huu mjadala ungekuwa mzuri zaidi.
  Mfano, kwenye hii video hatuoni PROJECTS zozote (wanapoishi watu maskini), homeless, drug addicts, na ombaomba. Kwa mujibu wa hiyo Video, kila mtu anaeishi NY ni tajiri, jambo ambalo sio kweli.

  Lakini ingekuwa ni Video ya nchi yoyote ya Africa usingekosa kuona watoto wenye utapiamlo, nyumba za mbavu za mbwa na taswira za watu waliokata tamaa ya maisha, ijapokuwa hiyi sio hali halisi ya bara zima la Africa.
   
 15. T

  Tiger JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  True dat!
   
 16. T

  Tiger JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Watu kama kina Kiranga ukiwaambia hivyo watakuelewa?
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Aug 6, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Afadhali New York nimeishi, napajua, kuna wenzangu wanapajua, kwa hiyo najua pana exist na nikitaka kurudi kuhakikisha bado papo intact.

  Huko mbinguni kuna mtu kashafika? Unaweza kutupa ushahidi gani zaidi ya mapokeo ya kidini kuthibitisha kwamba kupo?

  Na kuhusu New Yorkers kuonyesha sehemu nzuri tu, wao hawajasema kwamba New York yote iko hivyo.Hata sisi tukitaka kuitangaza nchi yetu tunapiga picha sehemu zinazovutia tu, hatupigi picha Manzese Uwanja wa Fisi na kwa Mfuga Mbwa .Ukitaka kuonyesha ubaya wa New York kapige hizo picha, au zitafute online utuonyeshe.

  Hata Nyerere aliwaasa msiangalie mabaya yake tu bila kuangalia mazuri.Hata kama unataka kusema unataka kuwa balanced, on the whole, mazuri ya New York yana outweight mabaya yake. Hizo projects mnazozisma nyingine nzuri kuliko Upanga uhindini, na zaidi ya hayo hazikatiki umeme wala maji. Watu wana parks and recreational facilities ambazo hata Oysterbay yetu haina, sembuse huko Manzese kwa Mfuga Mbwa Uwanja wa fisi.

  Kwa hiyo stop with the negativity already, kama wenzetu wana cover negative side ya Africa tu, hawaonyeshi sehemu nzuri, that is wrong and we should point that out. But that does not mean we should do the same thing and dwell on their bad side.Tutakosa moral authority ya kuwasema. Again, for the umpteenth time, two wrongs do not make a right.
   
 18. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mbiguni kuna nini tena!!! ahhhh :yawn:
   
 19. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  New York? I love New York!!! i love shopping and dining in NY
   
 20. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,906
  Likes Received: 21,009
  Trophy Points: 280
  anything special about shopping in new york??
   
Loading...