Hapo ndipo panapokuwa na utata,,,,,,inakuaje kama alokusaidia anaweza kukufanyia ndicyosivyo kisa tu AMEKUSAIDIA?msaada usiwe silaha ya kufanya ndivyo sivyo mdau....na pia hakuna alotoka hadharani (si clouds si rubi)ambaye amezungumzia juu ya huo mgogoro........Jambo lingine kwanini clouds imekua ikiingia sana kwenye migogoro na wasanii?Mfano mwaka 2010 ni hao hao ndio walioingia kwenye mgogoro na SUGU,kama mfatiliaji sugu alikuwa akipondwa sana kwenye media ile wakat alipotangaza kugomeba ubunge,na lile jambo lilikua kama limebarikiwa na menejiment maana kama watangazaj hawawez tu kuibuka ghafla na kuanza kufanya wanayoyafanya,ikaja na prof Jay yakajirudia yaleyale...hata awali ngoma yake ya kipi sijaskia haikuwa ikichezwa hadi baadae sana,shida nini?