New song: ruby -wale wale (Disstrack kwa clouds fm)

New song: ruby -wale wale (Disstrack kwa clouds fm)

Hivi kama hukubaliani na mtu ni lazima ushinde ukeshe unamponda? Mbona hao clouds hawajapoteza Muda kukaa kumsema huyu dada? Atapita kimya kama wengine na atapotea kimya, clouds naona wanazidi kupaa tu Kila siku
 
Role model wake atakuwa Dada mkuu lady Jay dee kwanini hizi conflict haziishi wasanii na clouds au ni kweli jamaa wanyonyaji?
Siri ya kaburi aijuaye... So we never know
 
Sasa kama unakazi za kufanya si ukafanye? Sio lazima mpaka ujue kilakitu...
Wewe kausha tu
cv yako tafadhali

bila shaka wewe hata kuandika balua hujui ikiwa umeshindwa kueleza tukio ulilo lilete hapa jukwaani
 
Hivi kama hukubaliani na mtu ni lazima ushinde ukeshe unamponda? Mbona hao clouds hawajapoteza Muda kukaa kumsema huyu dada? Atapita kimya kama wengine na atapotea kimya, clouds naona wanazidi kupaa tu Kila siku
Aah, ni kama ulimbukeni tu,
Alafu ananyea kambi bila kujua atachokipata....
 
Tatizo la huyu mtoto ni kwamba wimbo wake wa kwanza ulikuwa mkubwa sana, hatakaa afike ile level ya ule wimbo.
 
Tatizo la huyu mtoto ni kwamba wimbo wake wa kwanza ulikuwa mkubwa sana, hatakaa afike ile level ya ule wimbo.
Inasemekana anaweka nyodo nyingi tena mpaka kwa wasanii wenzake tena hadi kwa ambao wamemzidi...
 
Nimeisikiliza kiukweli nyimbo ni yakawaida sana huyu binti ilitakiwa ajinyenyekeze kwanza kama wenzake wakina maua sama baadaye akiwa amesha fahamika na kuwa na mashabiki wengi ndio achukue uamuzi mzito Kama aliouchukuwa!
Yaani unamaanisha hajulikani?
Maisha ya kinafki mabaya sana "ajinyenyekeze "huo ni utumwa,naona watu mnamtabiria mabaya sana huyo bint yaani kukorofishana na clouds ni kama amekorofishana na Mungu,halaf ajabu wanaume ndo wanaollalamika,,,,,HUO BINTI AMETHUBUTU MWACHENI HICHO NDICHO ALICHOKIWAZA WHY MNAMPANGIA NA KIPAJI CHAKE.Bila clouds hakuna maisha????????????????na hao BONGO MUVI WANASAIDIWA NA NANI?
 
ukiwa una leta thread hakikisha imekamilika

usifikili wote hatuna kazi tuanza kufuatilia sijui bdozen sijui rubii hebu kua kama msomi
usitake nitilie shaka elimu yako

We mwenyewe mbona killaza, unaandika kama ngumbaru bwana
 
Inasemekana anaweka nyodo nyingi tena mpaka kwa wasanii wenzake tena hadi kwa ambao wamemzidi...
Maisha bhana.....................NADHAN WENGI WANASUBIRIA KUONA HUYO MTOTO ANAANGUKA NDO WASEME VIZUR.
Mafanikio hayana njia moja,kama msanii X alifanikiwa kupitia clouds basi woooote wapitie hapo?maajabu haya......
 
umaskini wako ndio uoga wako.... mtu akuibie uogope kumwambia ukweli kisa uwe juu siku zote..

kuna watu wanfanya kazi kwa wahindi mshahara laki 1 lakini waoga kama njiwa....

Kuna wakati mtu anatafuta Kiki Ndio anapotea jumla
 
Kama haujui kipi kinachoendelea basi ujue haya mambo hayakuhusu mwana,
Alafu kama unashindwa kujiongeza kwenda kuidownload basi endelea kusubiri utaletewa hapahapa JF
Hujawahi kujiuliza kwanini Magufuli alisema atachukua wataalamu wa IT kutoka Rwanda 7bu wabongo ni wavivu sana hata kujiogeza kidogo tu mshkaji kashindwa
 
Back
Top Bottom