New song: Diamond ft Omarion African Beauty

New song: Diamond ft Omarion African Beauty

*****..... hii ni moto wa kuotea mbali nimeiangalia km mara 21 hivi but bado ht sijaridhika
 
Penzi twalipamba ngonjeraaaa...
Huba kama Tanga Segeraaaa,kwa viuno vya baikokooo kutoka Manza Bay...
Picha twazitwanga kiselaaaa,post insta wanga kuwakeraaaa..!

Ahahaaaaaaaaaaah...
Huyu bwana
 
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale.

but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri.
naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana Dada shonza kufungia miziki ya nyumbani alafu za kina beyonce mnaachia siyo acha vijana wapate mkate wao.


Japo hii nyimbo tamu sana..but baila baila ile nyimbo nimeipenda sana..ikiachiwa ile nadhani tunyimbo tote twa kibongo tutapoteana..


baila baila baila

pole dogo tumeshazifungia hizo tutaziachie soon..wabongo walizipost zote baada ya kununua albamu. hii nakupata zawadi hatujafungia
 
Simba hapa inakuwaje na hii national anthem uliyotoa.Naona kuna clean version,vevo na ile ya watu wazima nini tatizo team wcb wenzangu.Mbona views vevo zajikongoja ili hali huku you tube views zakimbia tu speed ya super sonic lakini ngoma sio number one trending au robot zetu zinafanya kazi.
A boy from Tandale
 
Hapo video moja ni clean edit kwa ajili ya BASATA. Zilizobaki ni kwa ajili ya biashara.
 
Back
Top Bottom