New song: Diamond ft Omarion African Beauty

New song: Diamond ft Omarion African Beauty

Simba hatareeee sana, nasikia na yule jamaaa naye bwana Dushalaleeee, kaachia ngoma mpya.
 
Wiki ijayo ikiisha bila press ya yule mpenda kufuli nitajua kweli maneno tuwaachie wanasiasa.
But kama kawaida chibu hajaniangusha zile swag na moves za Omarion hahaha [emoji108]
 
daaaaah....hii ngoma ni kaaaaaali sana duuuh nashindwa niielezeeje mond hayupo hpo kwa bahati mbya
 
Video haijakuwa released kwenye media za bongo inafungiwaje?

Ngoma ipo mtandaoni, tena kaweka Age restriction, unaangalia kwa bundle lako. Itaoneshwa nje huko wasikojali,bongo mtasikiliza Audio kwenye media zenu.
 
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale.

but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri.
naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana Dada shonza kufungia miziki ya nyumbani alafu za kina beyonce mnaachia siyo acha vijana wapate mkate wao.

Huu mziki mkubwa sana kwa Tanzania,sio level zetu
 
Back
Top Bottom