New song: Diamond ft Omarion African Beauty

Wakudadavuwa na tabia zake za kisagaji atamtamani uyo mrembo kwenye video alafu ataipiga kufuli kama kawaida yake lakini atakuwa anaitazama video kwa siri akiwa chumbani peke yake.
 
Huu wimbo mzur. Ila i kama remix ya wimbo wa omario Distance.

Pia basata watafungia huu wimbo mapema sna kma hatabadlisha iyo video. Ila anachokosa ni mashairi. Maneno yanarudiwa yale yale tu. Na hayafiki hata 50 wimbo wote.
 
Nyimbo nzuri,its nice kuona msanii mkubwa kama Omarion anaitendea haki video aliyoshirikishwa na msanii wetu ila najua kwa hiyo theme ya huyo mdada kashawapa watu sababu,watafungia mpaka audio
 
Huu wimbo mzur. Ila i kama remix ya wimbo wa omario Distance.

Pia basata watafungia huu wimbo mapema sna kma hatabadlisha iyo video. Ila anachokosa ni mashairi. Maneno yanarudiwa yale yale tu. Na hayafiki hata 50 wimbo wote.

Asante sana kwa maoni yako heradius12...
Management itashughulikia mawazo yako..!
Maoni yako ni muhimu sana katika mafanikio ya msanii wetu..!
Ubarikiwe..!!!
 
Back
Top Bottom