Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Mcuteee
Mcuteee
Kambini kwa Dar ntakwambia. Instagram account sijui. Unataka ukatafute kamrembo kako nini na wewe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheeenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba uliniambia umeacha ufisi lakiniNdo faida kubwa za haya mashindano kwangu.
Ila hata kamati zilikuwa hazipo serious maana kuna wasichana wenye uwezo mkubwa sana lakini kwa taswira iliyojengeka kwa hili shindano inakuwa ngumu kushiriki, watengeneze jina kwanza ili wanaostahili waanze kushiriki..Lakini pia watanzania tuna tatizo la kujielezea. Ndo maana mamiss wetu wanakuaga wazuri wakifika huko mbele uoga unawaangusha
Na akifanikiwa kufanya tofauti mwaka huu shindano litarudi kwenye chati kama zamani. Lungenda alizingua sana. Watoto wa watu walikua wanakutana na msururu wa wanaoume wanaotaka kuwala mpaka ushinde lazima utoe mchezoIla hata kamati zilikuwa hazipo serious maana kuna wasichana wenye uwezo mkubwa sana lakini kwa taswira iliyojengeka kwa hili shindano inakuwa ngumu kushiriki, watengeneze jina kwanza ili wanaostahili waanze kushiriki..
Ila kwa kuwa kapewa mwanamke labda watakuwa serious this time
Sheeenzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mchumba uliniambia umeacha ufisi lakini
Jesus!!
Usijali mchumba niko na weweMchumba natania tu, unajua mbwembwe za nyuma ya keyboard.
Ila si haba, mtu akijipendekeza nitakuomba ushauri.
Mbona na wewe mcutee sanaMcuteee
Niringe [emoji23][emoji23]Mbona na wewe mcutee sana
Unataka kudhamini bro?Nina interest mwaka huu.
Amestahili
Unataka kudhamini bro?
Niliwah kukuona mliman city pale kwahiyo najua vizur ulivyo bombaNiringe [emoji23][emoji23]
Usijali mchumba niko na wewe
Mmmmmmh si kweliiNiliwah kukuona mliman city pale kwahiyo najua vizur ulivyo bomba
Kanikumbusha Mbiki Msumi