NEW MISS TANZANIA 2018 SPECIAL THREAD

NEW MISS TANZANIA 2018 SPECIAL THREAD

Miss Mbeya 2018 Nancy Matta

36085869_212115086279936_6044511971938664448_n.jpg
 
Tatizo la mamiss wa Tz ni kujielewa ...
Yaani awe na uwezo wa kujielezea kwa ufasaha, ushawishi na uelewa mkubwa sana. Sasa mnampeleka mtu anaesubiri kuingia chuoni akapambane na madaktari , engineers na models wa muda mrefu...
 
Zawadi ya gari la ZOA ZOA...trip hiiii MISS atapata BAJAJI ya MO ENERGY
 
Imerudi tena maana mazingira ya rushwa yalikuwa mengi sana hasa rushwa ya ngono ,mtu anatoa rushwa ili awe miss Tanzania.sijui mwaka huu ila miss rukwa anaweza nyakua taji .
 
Tatizo la mamiss wa Tz ni kujielewa ...
Yaani awe na uwezo wa kujielezea kwa ufasaha, ushawishi na uelewa mkubwa sana. Sasa mnampeleka mtu anaesubiri kuingia chuoni akapambane na madaktari , engineers na models wa muda mrefu...
Lakini pia watanzania tuna tatizo la kujielezea. Ndo maana mamiss wetu wanakuaga wazuri wakifika huko mbele uoga unawaangusha
 
Sio kweli. Siku Ruge akiwa hayupo nani atasaka sponsor? Tumpe nafasi mwaka huu Basilla tuone alichotuandalia halafu tuseme sasa kama ana uwezo au hana
Ni kweli
 
Back
Top Bottom