Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 645
- 379
KASI INTANETIKwani kutumia Kiswahili mnaonaje?
KASI INTANETIKwani kutumia Kiswahili mnaonaje?
mi hawa watu na Tigo nilishawashindwa.....najuta kujisajili nao zaidi ya miaka nane iliyopita.....sasa sijui niende wapi hasa kwa ajili ya Data...kwa voice nimeambiwa Airtel wako vizuri .....ndiyo kwanza nimeanza naoBei sasa ndio tatizo hapo...huchelewi kuambiwa laki kwa mwezi
Mkuu hii FTTx naomba maelezo kidogo kama hutojali.Bongo huwa hakuna kitu kinaitwa kasi internet, fast internet, super fast internet na vyote vinavyofanana na hayo majina kwa mitandao inayotumia minara ya simu...
Such internet speed inawezekana tu kwa huduma za FTTx na sio hizi mambo zenu za wifi broadband/LTE etc...
Huwa mnakula tu hela za waTz kwa kuweka majina mazuri mazuri lakini hakuna lolote...
Fiber To The X (FTTx)...X inaweza ikawa office, nyumbani or eslewhere...Mkuu hii FTTx naomba maelezo kidogo kama hutojali.
Yes....Raha chini ya Liquid Telecom wanafanya hizo huduma.Fiber To The X (FTTx)...X inaweza ikawa office, nyumbani or eslewhere...
Yaani huduma ya internet inakufikia nyumbani kwa mfumo wa fiber cable...
Kwa nchi zilizoendelea, aina hii ya FTTx hubeba si internet tu bali hata Video contents like cable tv services etc...
Kwa bongo sina uhakika kampuni gani inafanya hivi maybe jamaa wa Raha.com...
TTCL.sasa sijui niende wapi hasa kwa ajili ya Data.
Gharama zao kwa mwezi zikoje?Raha chini ya Liquid Telecom
Mkuu avatar yako imenifanya nipasue kioo cha simuHili neno lina apply vipi hapo kwenye "KASI INTERNET" yenu, neno Unlimited liheshimiwe lisitumike vibaya.
30gb kwa 50k? Hapana aisee, kuna better deals kushinda hizo.Fuata hiyo link wameweka bei, ni 50k, 85k na 120k naona its fair kama ni unlimited speed
Labda standard yako wewe ya fast internet ni ipi? Maana Hao voda wanavuka average speed ya dunia kwa speed.Bongo huwa hakuna kitu kinaitwa kasi internet, fast internet, super fast internet na vyote vinavyofanana na hayo majina kwa mitandao inayotumia minara ya simu...
Such internet speed inawezekana tu kwa huduma za FTTx na sio hizi mambo zenu za wifi broadband/LTE etc...
Huwa mnakula tu hela za waTz kwa kuweka majina mazuri mazuri lakini hakuna lolote...