New hope!?dawa ya ukimwi! 100% uhakika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New hope!?dawa ya ukimwi! 100% uhakika

Discussion in 'JF Doctor' started by LoyalTzCitizen, May 12, 2011.

 1. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wakuu wenzangu kwanza habari za mahangaiko, leo ktk pitapita yangu nilibahatika kuona hii habari ambayo nadhani mimi binafsi na hata sisi wote kwa ujumla haswa my beloved Africa especially Tanzania tunaweza kupata hope ya ugonjwa unaopoteza mamia kwa mamilioni ya ndugu zetu tunaowapenda na kuwathamini angalia na tujadili hapo chini! Thanks for your time.


  Herpes virus in a vaccine may win the fight against HIV

  A vaccine with the potential to rid the body of all traces of HIV could prove to be the ultimate weapon against Aids, new research suggests.


  The experimental vaccine was hailed as a significant breakthrough after outstanding success in animal trials.

  Cytomegalovirus, which belongs to the herpes family, enables the immune system to be constantly on the alert for HIV.

  And, uniquely, the injected vaccine is carried by a persistent virus that remains in the body for life. Researchers in the US used different versions against a monkey form of Aids.

  Now, scientists are preparing to test its potential in human trials after independent experts described it as significant and exciting.

  More than half the rhesus macaques treated responded to the point where even the most sensitive tests detected no signs of the virus.

  To date, most of the animals have maintained control over the virus for more than a year, gradually showing no indication that they had ever been infected. The findings suggest the vaccine could be effective enough to rid the body of the immunodeficiency virus completely, according to the scientists writing in the journal Nature.

  Conventional anti-retroviral therapies are able to control HIV infection but cannot clear the virus from its hiding places within the immune system's white blood cells.

  Prof Robin Shattock, an expert in cellular and molecular infection at Imperial College in London, said the study was significant. ‘People had given up, to a large extent, in trying to develop vaccines that could control HIV rather than protect from infection,' he said. ‘This puts it firmly back on the table.'

  Jason Warriner, clinical director of the Terrence Higgins Trust, said the vaccine was an ‘exciting new approach'.

  There are estimated to be 33million people worldwide living with HIV/Aids.  Read more: Herpes virus in a vaccine may win the fight against HIV | Metro.co.uk
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  100%? Compare hii hapa:
  An HIV positive person can reduce the risk of spreading the virus to uninfected partners by 96% if they are given anti-retroviral drugs immediately, according to the United States National Institutes of Health.
  An international study looked at 1,763 couples in which only one partner was infected with HIV.
  It was abandoned four years early as the trial was so successful.
  The World Health Organisation said it was a "crucial development".
  The study began in 2005 at 13 sites across across Africa, Asia and the Americas.
  Patients were split into two groups. In one, HIV infected partners were immediately given a course of anti-retroviral drugs.
  The other group only received the treatment when their white blood cell count fell. Both were given regular testing for the virus and free condoms.
  Among those immediately starting anti-retroviral therapy there was only one case of transmission between partners.
  In the other group there were 27 HIV transmissions.

  Source: BBC News - Anti-retroviral drugs 'help reduce' HIV transmission
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naona wanataka kumfunika babu wa loliondo!
   
 4. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Maana yake ni kwamba there is a huge hope in the near future mkuu sababu kuna developments nyingi kama hiyo uliyotuma, ngoja tuwe pessimists! better days are coming!
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Babu anapigwa bao soon! Heheheh!!
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Tungejua dawa ya babu inatibu au inakinga kwa asilimia ngapi, na inafail kwa asilimia ngapi...tungeweza fanya comparison teh teh teeeh!
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi dawa ya babu inatibu kweli? mbona siku hizi simsikii?
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Tuwe optimists mkuu kwa vile tunalotarajia ni jema
   
 9. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kikombe cha babu sio dawa bali ni mkataba wa kuzimu (666). Watu waliopata kikombe karibu wote hawajapona na majority wamekufa mara baada ya kutoka kwa babu.

  Wajinga ndio waliwao, babu kesha vuna 500X3,000,000.00=1.5bn kiulaini!!!!!!!!!!!1

  Poleni
   
 10. M

  Makfuhi Senior Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: Aug 20, 2008
  Messages: 183
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya kugundua kwamba Babu amewapiga bao wanaharakisha kutoa dawa walizokuwa wameficha kwenye shelf. kumbukeni kwamba ukimwi ulitengenezwa kuwamaliza waafrica kwa hiyo huenda dawa anayosema mmarekani imepatikana ni ya kuwabadilisha virus wawe sugu kwa dawa ya Babu. Tuchangamkie dawa ya babu kwanza.
   
 11. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  Mkuu shukrani sana kwa mada hii!
  Nilikuwa nikitaka toka wiki iliyopita kuweka tiba mbadala kwa wanaosumbuliwa na Herpes (mkanda wa jeshi, moto wa Mungu) na virus wenzake, kwa bahati mbaya muda wangu umelikuwa mchache sana. Hivyo basi hapahapa nitaelezea tiba hiyo baada ya kuwa matumaini ya chanjo yake yamekuwepo. TIBA kubwa kwa mkanda wa jeshi ni kitunguu sumu (garlic-Allium sativum) kitunguu hicho kina uwezo mkubwa wa kupambana na virusi vya herpes.. nimekuwa nikitarajia kufanyike majaribio kwa wagonjwa wa UKIMWI ili kuonekana tija yake lakini sijaona kitu kama hicho kikifanyika katika kuvinjari kwangu. Hivyo basi habari hiyo ya kupatikana chanjo hiyo inaweza kufungua njia na matumaini mapya kwa waathirika na waathirika wajao.
  Ni sahihi kabisa kwetu kuelekezana mambo ya maana na yenye kutupatia afya pamoja na watanzania wenzetu. kwani taifa lenye raia wagonjwa haliwezi kwenda kokote.
   
 12. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  tatizo la dawa ya babu wa Loliondo ni kama la babu zetu wa vita vya majimaji..., imani ikipungua mgonjwa amekwenda!! Ingebidi wagonjwa wakae karibu na babu wanaweza kudumu labda!

  Tuliposema hapa kuwa dawa ya babu haina tija wala mashiko tulionekana kwamba tunamuonea wivu babu!!!

  Je nani mmeshamsikia anampinga NDODI? Kwanini wanatumia dawa mbadala wanaendelea kudunda huku waliokwenda kwa babu wakibadilika rangi na wengine kupoteza haiba? Wajanja baada ya kutoka kwa babu wamerudi kwenye dozi zao, wale wenzangu na mimi walioacha kutumia dawa zao baada ya kutoka kwa babu NDO KILA SIKU TUNASIKIA NTOLEE!! Mungu awape malazi mema - amin!
   
 13. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160  tatizo la dawa ya babu wa Loliondo ni kama la babu zetu wa vita vya majimaji..., imani ikipungua mgonjwa amekwenda!! Ingebidi wagonjwa wakae karibu na babu wanaweza kudumu labda!

  Tuliposema hapa kuwa dawa ya babu haina tija wala mashiko tulionekana kwamba tunamuonea wivu babu!!!

  Je nani mmeshamsikia anampinga NDODI? Kwanini wanatumia dawa mbadala wanaendelea kudunda huku waliokwenda kwa babu wakibadilika rangi na wengine kupoteza haiba? Wajanja baada ya kutoka kwa babu wamerudi kwenye dozi zao, wale wenzangu na mimi walioacha kutumia dawa zao baada ya kutoka kwa babu NDO KILA SIKU TUNASIKIA NTOLEE!! Mungu awape malazi mema - amin  Ila mkuu kuna watu wanapona! well, labda tuseme wanajisikia vizuri kwa dawa ya babau! Bibi yangu sasa yupo poa tu baada ya kupata kikombe mmhh! i am serious! no joke! ila hii competition ya sasa ya kugundua dawa ndio itakayoleta mafanikio sooner rather than later mkuu! God bless Africa!
   
 14. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
   
 15. SHINYAKA

  SHINYAKA Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  unahalibu mada bana, sayansi na mambo ya dini vitu viwili tofauti, sayansi ni kuhakiki, lakini dini huruhusiwi kuhoji. Ni kukubari na kuamini tu. Pekeka panapohusika utuache na sayansi yetu.
   
 16. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tupo tuliopona ndugu yangu.;............ jisemee mwenyewe usimsemee mtu:dance:
   
Loading...