New Great thinker , May I come ini............?

Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
74
Points
125
Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined Nov 20, 2018
74 125
Habarii,
Mimi ni member mpya humu jf kwa muda kidogo nimekua mfuatiliaji wa hili jukwaa sasa nimeona nami nijiunge ili niweze kushea na wenzangu yale niliyonayo.

Details
Sex: Male
Location: Milk way Galaxy
Interested in: Linguistic,Programming,Science & gadget, Movies & Music, History, Religious issues,reading and writting.
Natoa nafasi kuulizwa swali lolote.. utajibiwa kiufasaha kama ulivyouliza..

De nada, Gracias!
download-jpg.946087

https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=11&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwj0psmKpPDeAhWJKcAKHdr0BnwQFjAKegQIEBAB&url=https://www.imdb.com/title/tt3045616/&usg=AOvVaw08PFDzc2DIgYujGScjgz-M
Mortdecai
 
Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
74
Points
125
Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined Nov 20, 2018
74 125
Ukiona mtu anajitambulisha kwa kuweka cover la movie ujue kazi ipo

Mkuu hapo bolded,
hilo cover la muvi ni muvi iliyochezwa na Johhny Depp, ndiko nilikotoa jina hili nalotumia chini kabisa nimeweka link ya hiyo muvi ukaisomeee... au kuipakuaa. hiyo kazi unayosema ni yanini?
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
14,460
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
14,460 2,000
Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
 
Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
74
Points
125
Mortdecai

Mortdecai

Member
Joined Nov 20, 2018
74 125
Mgeni naona huna interest na Mahaba, yangekuwepo ningekukaribisha MMU, wacha waje wenyeji wengine wakukaribishe kwenye maeneo ambayo una interest nayo.

Kasie Matata Mahaba.
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu
 
Abu_yazid

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Messages
2,842
Points
2,000
Abu_yazid

Abu_yazid

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2014
2,842 2,000
Yes... Come Figo...!!
Habarii,
Mimi ni member mpya humu jf kwa muda kidogo nimekua mfuatiliaji wa hili jukwaa sasa nimeona nami nijiunge ili niweze kushea na wenzangu yale niliyonayo.

Details
Sex: Male
Location: Milk way Galaxy
Interested in: Linguistic,Programming,Science & gadget, Movies & Music, History, Religious issues,reading and writting.
Natoa nafasi kuulizwa swali lolote.. utajibiwa kiufasaha kama ulivyouliza..

De nada, Gracias!
View attachment 946087
https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=11&cad=rja&uact=8&ved=2ahUKEwj0psmKpPDeAhWJKcAKHdr0BnwQFjAKegQIEBAB&url=https://www.imdb.com/title/tt3045616/&usg=AOvVaw08PFDzc2DIgYujGScjgz-M
Mortdecai
 
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
14,460
Points
2,000
Kasie

Kasie

Platinum Member
Joined Dec 29, 2013
14,460 2,000
Kasie,
mgeni ni mwanaume mkamirifu na rijali hivyo nakuruhusu unikaribishe mmu
Ooooh safii, karibu jukwaa la MMU, huko utapata kila aina ya vimbwanga an visa vinavyohusiana na mapenzi familia na maisha binafsi ya watu. Beba na chukua kitachokufaa, vingine viache humohumo seva ya JF haijaagi sio ndoo ya maji hii.

Kila la kheri.

Kasie Dadii.
 
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2016
Messages
6,673
Points
2,000
dingimtoto

dingimtoto

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2016
6,673 2,000
Hhahahahahhaaa umenikumbusha ule wimbo wa Mgeni huyu ameingia wa Marehemu Komba......

Mgeni ameingia hadi chumbani wanakolala baba na mama.....
Aisee hivo hivo enzi hizo marehemu captain komba na sauti yake ile
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,364
Points
2,000
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,364 2,000
Naomba kuuliza swali.

Kwa mtaji wa milioni tatu ninaweza kufanya biashara gani ya kunipa faida ya kuanzia milioni moja kwa mwezi?

Hapo iwe running costs zimeshatolewa na mtaji bado upo.
 
Forum statistics

Threads 1,334,886
Members 512,157
Posts 32,489,931
Top